Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Msukuma mwenye asili ya kijaluo [emoji33][emoji33][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama ni mjaluo baba ni msukuma lakini anatumia jina kichina, adi kwake napajua ana mansion pale kwake hatari mitaa ya nyasaka.
Pia ana apartment nyingi sana nyasaka, na mara ya kwanza kuona gari la hummer hapa mwanza lilikuwa ni hili ya zongy yopa mtu na robo.
 
Wacha na via duct isimame, njia nne ianze kuchakatwa, Kigongo - Busisi ikamilike, Airport terminal ianze [emoji13][emoji13][emoji13], bado mtandao wa barabara za ndani uongezeke, vyuo vikubwa vianze full operations. Kuna watu wataita maji mma
Ila nilipita pale sabasaba kwenye ujenzi wa chuo cha DIT kama mlivyonambia, hakika nilifika adi kwenye michoro asee michoro inavutia sana na magorofa yatakuwa ni mengi kama sita hivi, eneo l ujenzi pia sio haba pia majengo mengi ni floor nne adi sita🙏🙏🙏
 
Via duct wameanza kuinua adi nguzo.
 
Ila nilipita pale sabasaba kwenye ujenzi wa chuo cha DIT kama mlivyonambia, hakika nilifika adi kwenye michoro asee michoro inavutia sana na magorofa yatakuwa ni mengi kama sita hivi, eneo l ujenzi pia sio haba pia majengo mengi ni floor nne adi sita🙏🙏🙏
👍👍 uko vizuri sana!
 
Ila nilipita pale sabasaba kwenye ujenzi wa chuo cha DIT kama mlivyonambia, hakika nilifika adi kwenye michoro asee michoro inavutia sana na magorofa yatakuwa ni mengi kama sita hivi, eneo l ujenzi pia sio haba pia majengo mengi ni floor nne adi sita[emoji120][emoji120][emoji120]
Ilemela inakuja vizuri sana
 
Mama ni mjaluo baba ni msukuma lakini anatumia jina kichina, adi kwake napajua ana mansion pale kwake hatari mitaa ya nyasaka.
Pia ana apartment nyingi sana nyasaka, na mara ya kwanza kuona gari la hummer hapa mwanza lilikuwa ni hili ya zongy yopa mtu na robo.
Na mimi ndo ninavyojua ila sikujua kati ya wazazi wake nani ni msukuma! Kwa hiyo zongii ni ngosha ugali tofali sio?😂😂😂
 
Mbona kilishawahi kuitwa hivyo ...lakin inabidi kianze kuwa chini ya DIT Kwa sababu kinategemea wataalamu kutoka DIT ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kwa badae wakishapat wataalamu wao na wakiwasomesha ata huko nje ya nchi kwa utaalamu wa ngozi na technology za kuunda simu tujitegemee huwa sipendi vyuo vya Mwanza viwe chini ya chuo fulani.
 
Madiwani wanapenda sana per diem[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka huu ilemela wanaenda kuweka record ya mapato . mkurugenzi wao Yuko makini sana ..robo hii wamekusanya bilion 5 badala ya bilion 3 waliyokuwa wamepanga wakusanye ...tusishangae mwaka huu wakazidiwa kidogo tu nyamagana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom