Mwanza City: The Photo Gallery

Na asije kabsaa kama anakuja na hakuna impact asijeee, Mkoa wa Mwanza ulitakiwa kuwa Metropolitan City na sio rural sema Miundombinu inawafanya investors wasiwekeze Maeneo ya Misungwi na Kwimba
Huko misungwi kulitakiwa kuwa mji mzuri na miundombinu bora lakini pamekaa kama rural area, Mwanza inasafari ndefu sana kwa siasa za ovyo za nchi hii
 
Namshangaa sana Angelina Mabula yupo Wizara ya Nyumba lakin hatuoni impact yake Mwanza sasa alitakiwa kuforce Apartments Maeneo ya Sangabuye uko au hata Mabatini, alitakiwa aforce satellite city
Kama rais hataki ni kazi bure mkuu, huyu mama hana muda na Mwanza.
 
Tabu ya mwanza mmejaa chadema wengi mno[emoji1][emoji1] ndiyo maana hawajisumbui.

JUST KIDDING.
[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Uliyoyataja yote mzee Busan . serikali haiwezi kuyafanya Kwa muda unaouhitaji ..mfano unataka flyover Usagara ambayo si chini ya bilioni 100 ..at the same time mwanza ni jiji lenye uhaba mkubwa wa maji .....
Nirudie kusema hili mwanza ni mji ambao una pewa fedha nyingi kuliko majiji mengine ukiacha dar Kwa sababu ya miradi yake ya kimkakati....daraja tu la busisi pesa Yake ingejenga hyo fly over ,ikajenga dual carriage hata 3 za km 20 na mambo mengine kede kede ...
Mimi siungi mkono hoja ya kwamba mwanza ni jiji linaloonewa
 
Naona madam president anatulipa kisasi watu wa mwanza sasa hv ukiachana na Dar na Dodoma ziara zake nyingi ni arusha huku sijui upepo ni mbaya au anafanya kama mzee baba kwa arusha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Atakuja tu .. unadhani hyo meli itazinnduliwa na nani ,,,,, stendi ya nyegezi inavutwa vutwa Hadi January ili mwezi wa pili izunduliwe na raisi pamoja na soko na meli....
 
Mikdde hiyo Busisi haipo jiji la Mwanza, na sisi tunaitaji miradi hasa ya barabara tumechoka ngonjera za muda mrefu, na hakuna utekelezaji kila siku wapo kwenye feasibility study miaka inakata tu ipanuzi wa barabara ya kenyatta imekuwa kama ndoto.
 
Barabara ya kenyata.feasability ishakamilika ,,,kilichobaki ni kuingizwa kwenye bajeti mwaka huu ...na hapo lazima wafate taratibu zote za manunuzi (procurement procedures) ....hapa ni mkuu wa mkoa pamoja tanroads mkoa wanaweza kupush hili suala kwa haraka
 
Mikdde hiyo Busisi haipo jiji la Mwanza, na sisi tunaitaji miradi hasa ya barabara tumechoka ngonjera za muda mrefu, na hakuna utekelezaji kila siku wapo kwenye feasibility study miaka inakata tu ipanuzi wa barabara ya kenyatta imekuwa kama ndoto.
Daraja la busisi linalink mwanza na mikoa ya geita..Kwa hyo ni sehemu muhimu Kwa maendeleo ya Jiji
 
Jiji kubwa kama Mwanza tunakosa barabara za viwango hii insikitisha sana pia napoona wanasiasa wanakuja kupiga porojo tu ndio huwa wananipa uchungu tu.
 
Kwelii inatia hasira sana yaan Dodoma inakua na barabara nyingi kali kulko mwanza inauma sana aise

Tumeanza na hii .[emoji116]..... geography ya mwanza sometimes inaleta changamoto kujenga barabara kubwa ,,,,Kwa hyo inahitaji fedha nyingi kujenga dual carriage
 
Kwelii inatia hasira sana yaan Dodoma inakua na barabara nyingi kali kulko mwanza inauma sana aise
Hapa ndio huwa nasema federal gvt ni ya muhimu sana, yaani serikali ya majimbo kila jimbo linufaike na resources zake, na ifanye kile inachotaka na si kutegemea serikali za kijinga kama hii.
 
Inajadiliwa .. tatizo linakuja pale wanasiasa wanapodhani sura ya nchi ni dar pekee..
Kama Tanzania ni Dar wabaki na dar yao na sisi watuache tujitegemee kwenye majimbo yetu, hii hali inatia hasira sana, dhahabu za geita haziwezi kutumika kujenga dar wakati wanageita wanakosa ata maji ya kunywa.
 
Hapa ndio huwa nasema federal gvt ni ya muhimu sana, yaani serikali ya majimbo kila jimbo linufaike na resources zake, na ifanye kile inachotaka na si kutegemea serikali za kijinga kama hii.
Mikoa mingine ingeumia ,,,,,,,
 
Kama Tanzania ni Dar wabaki na dar yao na sisi watuache tujitegemee kwenye majimbo yetu, hii hali inatia hasira sana, dhahabu za geita haziwezi kutumika kujenga dar wakati wanageita wanakosa ata maji ya kunywa.
Geita na Mwanza watu tumelala,,,mbona Kagera wameupiga kelele tu kuhusu uwanja,Hadi serikali imeamua kuwajengea uwanja Mpya.......kwani sie twashindwa nini , upole au
 
Kwanini tuumie sisi tuozalisha na hatusaminiki kupewa huduma stahiki, maji yamekuwa shida na ziwa lipo karibu, ebu fikiria hiyo dar yenu ingekuwa na ziwa victoria wangepata shida ya maji kama Mwanza inavyopata?
Tatizo la maji mwanza limesababishwa na viongozi waliojenga chanzo cha capripoint...waliojenga mtambo mdogo usioweza kutosheleza mahitaji ya mji Kwa miaka kadhaa ijayo ...na ndio tunayaona madhara yake hapa Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…