Mwanza City: The Photo Gallery

Sasa nini kifanyike ili kuweza kuondoa changamoto hzo .....ifike wakati sasa halmashauri zitoe municipal bond ili ziweze kufadhili miradi yake
 
We jamaa unazingua
 
Ilemela wametangaza ununuzi wa viwanja awamu ya pili Katika mji wa kisasa wa sangabuye fomu ni sh elfu 20 zinapatikana halmashauri na rock city mall unatanguliza advance nusu
Hivyo viwanja vinauzwa sh ngapi mkuu
 
Kiukweli barabara ya kenyata na nyerere zinatakiwa zipanuliwe pia barabara ya airport had nyanguge au kisesa ijengwe hv vibarabara vya buhongwa to igoma na mkuyuni to nyakato zilitakiwa ziwe zimejengwa hata kabla ya magu hajawa Raisi
Jiji la mwanza linakusanya billions kila mwaka, wajenge sio lazima wasubiri serikali kuu, na maji jiji likiamua linaweza kujenga mitambo ya kutosheleza kusambaza jiji lote, nina uhakika hata wanaweza kukusanya zaidi kama wakiwa makini
 
Jiji gani limejenga barabara?
Namaanisha barabara kubwa
 
Jiji gani limejenga barabara?
Namaanisha barabara kubwa
Sio kwa sababu hakuna aliyejenga basi nao haitawezekana, ni kujipanga tuu naamini jiji la mwanza linakusanya billions na kisheria kama jiji wanaweza kukopa au kutafuta grant kufanya miradi yao, kitu kama maji wanaweza kuamua kutenga fedha kila mwaka na kujenga kwa awamu hata miaka 10 kumaliza hilo tatizo, hakuna kisichowezekana
 
Jiji la mwanza linakusanya billions kila mwaka, wajenge sio lazima wasubiri serikali kuu, na maji jiji likiamua linaweza kujenga mitambo ya kutosheleza kusambaza jiji lote, nina uhakika hata wanaweza kukusanya zaidi kama wakiwa makini
Jiji lijenge .Kwa mapato Gani . estimate ya Gharama ya barabara Ile si chini ya bilioni 50 ...mapato ya nyamagana ni kama bilion 20 ....ukisema zote uziweke kwenye barabara.sekta zingine je
 
Jiji wana barabara zao wanajenga chini ya TARURA..mfano barabara ya buzuruga meco nyakato....
Lakini barabara hizi kubwa ziko chini ya tanroad....jiji hawahusiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…