Kata za nyamagana wanajenga kwa kubanana lakini ilemela wanajenga kwa nafasi na majumba ya uhakika nataka kesho nikapige picha majumba ya magorofa ya nyasaka, then nitaenda na ilemela na kiseke.Ishu sio kujenga sana ..ishu ni nyumba quality na miundombinu safi pamoja na huduma
viwanja vya 20*15 utajenga Kwa nafasi Gani ... kishiri,huko ...japokuwa milima nayo inachangia , wilaya ya nyamagana asilimia 70 imekuwa covered na milima ..Kata za nyamagana wanajenga kwa kubanana lakini ilemela wanajenga kwa nafasi na majumba ya uhakika nataka kesho nikapige picha majumba ya magorofa ya nyasaka, then nitaenda na ilemela na kiseke.
Milima tutaisingizia tu ni mipango miji mbona capripoint, isamilo na nyegezi ipo vizuri?viwanja vya 20*15 utajenga Kwa nafasi Gani ... kishiri,huko ...japokuwa milima nayo inachangia , wilaya ya nyamagana asilimia 70 imekuwa covered na milima ..
Hapo sasa ni uwezo ,, ukiangalia capripoint watu wamejenga Hadi barabara zao wenyewe ....Milima tutaisingizia tu ni mipango miji mbona capripoint, isamilo na nyegezi ipo vizuri?
Kilimahewa ni mtaa unaopatikana kata ya nyamanoro ambako kuna cathedral ya kawekamo, nyamanoro ni mji wa kale kuna maeneo ya kiswahili na maeneo ya ushuani.Hapo sasa ni uwezo ,, ukiangalia capripoint watu wamejenga Hadi barabara zao wenyewe ....
hata hvyo ilemela na wenyewe wana makazi mengi tu ambayo hayajapangwa ..anzia kigoto, kitangiri,kilimahewa , na nyamanoro...ambayo ndio yenye vilima maeneo mengine yaliyobaki Yana tambalale Kwa asilimia kubwa ....wakati nyamagana maeneo yenye tambalale ni nyakato ,mahina , nyegezi (baadhi ya maeneo),mkolani ,na buhongwa mengine ni milima na mabonde kwa asilimia kubwa..
Hata igogo na mabatini ni miji ya kale... anyway nikijaribu kukupa tu picha .kwannn nyamagana Kuna makazi mengi yasiyo na mpangilio.. sababu nimeziwekaKilimahewa ni mtaa unaopatikana kata ya nyamanoro ambako kuna cathedral ya kawekamo, nyamanoro ni mji wa kale kuna maeneo ya kiswahili na maeneo ya ushuani.
Ndio maana mimi napinga sana mji kupanuka hovyohovyoIshu sio kujenga sana ..ishu ni nyumba quality na miundombinu safi pamoja na huduma
Hapo sawa kabisa nyamagana maeneno kama igogo, mabatini na kigoto ni miji ya kale ambayo ilijengwa bila kufata mipango miji, nitakutumia picha ya majumba ya nyasaka milimani yanavyovutia asee.Hata igogo na mabatini ni miji ya kale... anyway nikijaribu kukupa tu picha .kwannn nyamagana Kuna makazi mengi yasiyo na mpangilio.. sababu nimeziweka
[emoji116]
geographia ya eneo
Uuzaji holela wa viwanja
Miundombinu mibovu
Usimamizi mbovu wa Master plan ya jiji .
Unapotoa hoja. elezea na facts za kuthibitisha hoja yako . other wise yanakuwa maneno matupu tu ..Ukitoa city centre ya nyamagana ilemela inaizid nyamagana mbali sana
Huyu jamaa anakuwaga na mihemko🤣🤣🤣Unapotoa hoja. elezea na facts za kuthibitisha hoja yako . other wise yanakuwa maneno matupu tu ..
Mh ...,???... buswelu ipi Tena hyoHivi kwa mwanza hiii eneo gani lenye nyumba nzuri za kisasa nyingi kama BUSWELU[emoji3] ndio ni buswelu sijakosea? Maeneo yote hadi Capri point na bwiru
Buswelu kama BusweluMh ...,???... buswelu ipi Tena hyo
Na muda sijafika buswelu.. nakumbuka nilienda huko 2008 ,Kuna viwanja ndugu yangu alipata huko ,,,laki 3 unapata kiwanja.kikubwa Tena tambalale . kulikuwa ni kijijini balaa wanaongea kisukuma tu ... vijumba vya nyasi..leo buswelu bila milion 10 hujapata kiwanja.. aisee sio poaBuswelu kama Buswelu
Buswelu na nyamhongolo hazina tofauti, ila kwa mtazamo wangu buswelu pamejengeka lakini ukinambia maeneo bora matano buswelu haiwezi kuwemo.Hivi kwa mwanza hiii eneo gani lenye nyumba nzuri za kisasa nyingi kama BUSWELU[emoji3] ndio ni buswelu sijakosea? Maeneo yote hadi Capri point na bwiru
My list1.Capripoint
2.bwiru
3.ilemela.
4.isamilo
5.Nyasaka
Mbona bwiru umeirusha mbali sana mkuu kwanini naomba facts hapa kwa bwiru kwani me najua bwiru na capripoint zinakimbizana ata mijengo mingi ya ghorofa na mandhari safi ya ziwa.My list
1.Capripoint
2.isamilo
3.mwananchi
4 ilemela
5.bwiru
6.nyasaka