Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Ishu sio kujenga sana ..ishu ni nyumba quality na miundombinu safi pamoja na huduma
Kata za nyamagana wanajenga kwa kubanana lakini ilemela wanajenga kwa nafasi na majumba ya uhakika nataka kesho nikapige picha majumba ya magorofa ya nyasaka, then nitaenda na ilemela na kiseke.
 
viwanja vya 20*15 utajenga Kwa nafasi Gani ... kishiri,huko ...japokuwa milima nayo inachangia , wilaya ya nyamagana asilimia 70 imekuwa covered na milima ..
 
Milima tutaisingizia tu ni mipango miji mbona capripoint, isamilo na nyegezi ipo vizuri?
 
Hapo sasa ni uwezo ,, ukiangalia capripoint watu wamejenga Hadi barabara zao wenyewe ....
hata hvyo ilemela na wenyewe wana makazi mengi tu ambayo hayajapangwa ..anzia kigoto, kitangiri,kilimahewa , na nyamanoro...ambayo ndio yenye vilima maeneo mengine yaliyobaki Yana tambalale Kwa asilimia kubwa ....wakati nyamagana maeneo yenye tambalale ni nyakato ,mahina , nyegezi (baadhi ya maeneo),mkolani ,na buhongwa mengine ni milima na mabonde kwa asilimia kubwa..
 
Kilimahewa ni mtaa unaopatikana kata ya nyamanoro ambako kuna cathedral ya kawekamo, nyamanoro ni mji wa kale kuna maeneo ya kiswahili na maeneo ya ushuani.
 
Hata igogo na mabatini ni miji ya kale... anyway nikijaribu kukupa tu picha .kwannn nyamagana Kuna makazi mengi yasiyo na mpangilio.. sababu nimeziweka
[emoji116]
geographia ya eneo
Uuzaji holela wa viwanja
Miundombinu mibovu
Usimamizi mbovu wa Master plan ya jiji .
 
Hapo sawa kabisa nyamagana maeneno kama igogo, mabatini na kigoto ni miji ya kale ambayo ilijengwa bila kufata mipango miji, nitakutumia picha ya majumba ya nyasaka milimani yanavyovutia asee.
 
Hivi kwa mwanza hiii eneo gani lenye nyumba nzuri za kisasa nyingi kama BUSWELU[emoji3] ndio ni buswelu sijakosea? Maeneo yote hadi Capri point na bwiru
 
Buswelu kama Buswelu
Na muda sijafika buswelu.. nakumbuka nilienda huko 2008 ,Kuna viwanja ndugu yangu alipata huko ,,,laki 3 unapata kiwanja.kikubwa Tena tambalale . kulikuwa ni kijijini balaa wanaongea kisukuma tu ... vijumba vya nyasi..leo buswelu bila milion 10 hujapata kiwanja.. aisee sio poa
 
_20221219_235636.JPG

Rufiji street
 
Hivi kwa mwanza hiii eneo gani lenye nyumba nzuri za kisasa nyingi kama BUSWELU[emoji3] ndio ni buswelu sijakosea? Maeneo yote hadi Capri point na bwiru
Buswelu na nyamhongolo hazina tofauti, ila kwa mtazamo wangu buswelu pamejengeka lakini ukinambia maeneo bora matano buswelu haiwezi kuwemo.
 
Back
Top Bottom