Mwanza City: The Photo Gallery

Mabula na Sima si marafiki.
Ila nimetoa wazo, kwa sasa kabla solution haijapatikana, itungwe sheria hao watu wa milimani wapande miti at least 5 kila familia, pia paa za nyumba zipakwe rangi, jiji wanaweza paka rangi kwa kuwachaji pesa kidogo
Ila la kuhusu paa kupakwa rangi hasa kwa wakazi wa milimani nilishaenda adi nyumbani kwa mabula, pia nilishawahi kwenda adi kwa mkuu wa mkoa lakini sio likifanyiwa kazi.
 
Hii ya kupanda miti .sijui iliishia wapi ,, mkuu wa wilaya nilisikia anagawa miti 6000 Kila mtaa ..
Zoezi lilifanyika ila sikuona kama limewafikia wakazi wa igogo, bugarika na mabatini.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Zoezi lilifanyika ila sikuona kama limewafikia wakazi wa igogo, bugarika na mabatini.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wakazi wa igogo , mbugani,nyakabungo ,wako pale Kwa muda tu .. serikali inawapimia ,tu kuondolewa kupo pale pale ... magufuli ndio aliwatetea kipind kile
 
[emoji16][emoji16]..ndio maana ndugai alisema anaona masufuria milimani
Alafu hao wakazi wa milimani ata uwape nini hawawezi kutoka hasa hao wa igogo, bugarika, sahara juu na mabatini.
 
Sijaona fensi ya maana [emoji16][emoji16][emoji28]
Kwa fensi kama zile za mwananchi kwa nyasaka ni kila baada ya hatua chache unaozona,ila nilichotaka kuonyesha hapo ni wingi wa fensi nyasaka ndio sehem pekee kwa mwanza 90% ya nyumba zinamaget[emoji1]

Nyumba ambazo wewe unaziona na mansions huku tunafugia kuku[emoji1][emoji1][emoji1]
 
I'm coming,,,next month...mim sinaga maelezo mengi ,,,nitakuja kupita upya nyasaka, buswelu, bwiru na nyamhongolo ili nijihakikishie nachokiamini .......
NB .. usisahau picha za nyamhongolo kutuletea ukipata muda
 
Kaka kuna mtu anaitwa Kitombile alituambia huko Nyasaka kuna mini mall inajengwa, alituahidi picha ila kila akienda kabla hajafika anakutana na warembo wa nyasaka badala ya kupiga picha anaanza kufukuzia mademu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Je ni kweli ipo inajengwa? Unaweza kutupatia picha?
 
I'm coming,,,next month...mim sinaga maelezo mengi ,,,nitakuja kupita upya nyasaka, buswelu, bwiru na nyamhongolo ili nijihakikishie nachokiamini .......
NB .. usisahau picha za nyamhongolo kutuletea ukipata muda
Nyamhongolo na shamaliwa zitakuja kwa pamoja
 
Nyasaka upande wa pisi ni [emoji95][emoji95] sema kuwaona ndio changamoto... Nyasaka ni uzunguni sana ila ukiotea uhakika inakua yako huku tunaupungufu wa vijana[emoji1][emoji1]


Kuhusu mini mall ipo pale maduka tisa mkono wa kushoto kama unatoka town kuna jengo kubwa hapo linajengwa kwa kasi sana

Picha yake itakuja
 
Usisifie Kwa sababu unakaa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ