Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Ila la kuhusu paa kupakwa rangi hasa kwa wakazi wa milimani nilishaenda adi nyumbani kwa mabula, pia nilishawahi kwenda adi kwa mkuu wa mkoa lakini sio likifanyiwa kazi.Mabula na Sima si marafiki.
Ila nimetoa wazo, kwa sasa kabla solution haijapatikana, itungwe sheria hao watu wa milimani wapande miti at least 5 kila familia, pia paa za nyumba zipakwe rangi, jiji wanaweza paka rangi kwa kuwachaji pesa kidogo