Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mabula na Sima si marafiki.
Ila nimetoa wazo, kwa sasa kabla solution haijapatikana, itungwe sheria hao watu wa milimani wapande miti at least 5 kila familia, pia paa za nyumba zipakwe rangi, jiji wanaweza paka rangi kwa kuwachaji pesa kidogo
Ila la kuhusu paa kupakwa rangi hasa kwa wakazi wa milimani nilishaenda adi nyumbani kwa mabula, pia nilishawahi kwenda adi kwa mkuu wa mkoa lakini sio likifanyiwa kazi.
 
Hii ya kupanda miti .sijui iliishia wapi ,, mkuu wa wilaya nilisikia anagawa miti 6000 Kila mtaa ..
Zoezi lilifanyika ila sikuona kama limewafikia wakazi wa igogo, bugarika na mabatini.😁😁😁😁
 
Zoezi lilifanyika ila sikuona kama limewafikia wakazi wa igogo, bugarika na mabatini.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wakazi wa igogo , mbugani,nyakabungo ,wako pale Kwa muda tu .. serikali inawapimia ,tu kuondolewa kupo pale pale ... magufuli ndio aliwatetea kipind kile
 
[emoji1][emoji1][emoji1] hizi picha zote najaribu kutetea hoja yangu nyasaka 90% ya nyumba zake zinafensi

Unaweza kuzunguka mtaa mzima ukakuta nyumba isiyo na fensi ni moja au 4 na bado ni kali
SHA_20220713_180018319_8.4.400.jpg
SHA_20220520_081819916_8.4.400.jpg
SHA_20220520_081659828_8.4.400.jpg
SHA_20220711_143240221_8.4.400.jpg
SHA_20220711_143931037_8.4.400.jpg
SHA_20220713_175726318_8.4.400.jpg
SHA_20220713_175443938_8.4.400.jpg
SHA_20220713_180618788_8.4.400.jpg
SHA_20220909_164228192_8.4.400.jpg
SHA_20220713_175910035_8.4.400.jpg
SHA_20220909_164414312_8.4.400.jpg
20220908_182952.jpg
SHA_20220910_174825533_8.4.400.jpg
SHA_20220910_190245048_8.4.400.NIGHT.jpg
SHA_20220909_164052774_8.4.400.jpg
20220908_181445.jpg
20220908_181222.jpg
20220908_180743.jpg
20220908_181222.jpg
SHA_20220908_191519535_8.4.400.NIGHT.jpg
20220908_182147.jpg
20220908_175316.jpg
SHA_20220908_180106883_8.4.400.jpg
SHA_20220713_174629860_8.4.400.jpg
 
[emoji16][emoji16]..ndio maana ndugai alisema anaona masufuria milimani
Alafu hao wakazi wa milimani ata uwape nini hawawezi kutoka hasa hao wa igogo, bugarika, sahara juu na mabatini.
 
Sijaona fensi ya maana [emoji16][emoji16][emoji28]
Kwa fensi kama zile za mwananchi kwa nyasaka ni kila baada ya hatua chache unaozona,ila nilichotaka kuonyesha hapo ni wingi wa fensi nyasaka ndio sehem pekee kwa mwanza 90% ya nyumba zinamaget[emoji1]

Nyumba ambazo wewe unaziona na mansions huku tunafugia kuku[emoji1][emoji1][emoji1]
 
I'm coming,,,next month...mim sinaga maelezo mengi ,,,nitakuja kupita upya nyasaka, buswelu, bwiru na nyamhongolo ili nijihakikishie nachokiamini .......
NB .. usisahau picha za nyamhongolo kutuletea ukipata muda
 
Kaka kuna mtu anaitwa Kitombile alituambia huko Nyasaka kuna mini mall inajengwa, alituahidi picha ila kila akienda kabla hajafika anakutana na warembo wa nyasaka badala ya kupiga picha anaanza kufukuzia mademu😂😂😂😂😂
Je ni kweli ipo inajengwa? Unaweza kutupatia picha?
 
I'm coming,,,next month...mim sinaga maelezo mengi ,,,nitakuja kupita upya nyasaka, buswelu, bwiru na nyamhongolo ili nijihakikishie nachokiamini .......
NB .. usisahau picha za nyamhongolo kutuletea ukipata muda
Nyamhongolo na shamaliwa zitakuja kwa pamoja
 
Kaka kuna mtu anaitwa Kitombile alituambia huko Nyasaka kuna mini mall inajengwa, alituahidi picha ila kila akienda kabla hajafika anakutana na warembo wa nyasaka badala ya kupiga picha anaanza kufukuzia mademu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Je ni kweli ipo inajengwa? Unaweza kutupatia picha?
Nyasaka upande wa pisi ni [emoji95][emoji95] sema kuwaona ndio changamoto... Nyasaka ni uzunguni sana ila ukiotea uhakika inakua yako huku tunaupungufu wa vijana[emoji1][emoji1]

Kuhusu mini mall ipo pale maduka tisa mkono wa kushoto kama unatoka town kuna jengo kubwa hapo linajengwa kwa kasi sana

Picha yake itakuja
 
Usisifie Kwa sababu unakaa huko
 
Back
Top Bottom