Mwanza City: The Photo Gallery

Limekomea floor ya ngapi
Jengo la yule nshomile anajenga kitajiri sana, unene wa nguzo nazani ni 10+ proved, lakini lile la kona ya mwaloni japo wapo floor ya tatu sizani kama linaweza kutoboa floor 7, Ghana ni new CBD panatisha mkuu, na nyasaka inataka kupimana mbavu na capripoint na bwiru kwenye makazi bora.
 
Hujadaka hata picha Moja mkuu hapo kwenye hyo miradi
 
Nataka kupata picha ya hilo jengo la lumumba karibu na mtaa wa karuta, jengo la nshomile, majengo yanayojengwa nyegezi, na ujenzi wa chuo cha DIT, hizi lazima nipate picha zake.
Oh .. itapendeza sana ,,,,vip ujenzi wa hilo jengo hapo karibu na royal hospital..imekuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…