Ni jambo la kupendeza kuwa fedha za miradi zinabaki hapa hapa mwanza,,,,badala ya kuwapa wakandarasi wa mikoa mingine ..Sasa mellow na arms strong wana project maeneo ya round about ya nyerere, karibu na filling station, wameshaweka bango ya ukandarasi na sasa hicho kijumba kinavunjwa, kupisha ujenzi.
Mimi nikisema ujue ni provedHuu mradi wamesema ni ghorofa 10 +?
Hii nimempa taarifa intelligent man kuwa miradi mikubwa inaweza kufanywa na kampuni zetu za ndani ya Mwanza na si mpaka tuchukue wa Dar.Ni jambo la kupendeza kuwa fedha za miradi zinabaki hapa hapa mwanza,,,,badala ya kuwapa wakandarasi wa mikoa mingine ..
Vip lakin umeona hapo rwegasore wakandarasi wapo site?Na sasa wameanza na huu mradi wa ghorofa 10+ hapo mtaa wa rwegasore upo floor ya tatu ukiwa na basement ya underground. [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2487391View attachment 2487392View attachment 2487393
Mkuu nimeweka na picha kabisaa japo nimepiga asubuhi sana wapo floor ya tatu lakini unaweza kuzani wapo 1 floor watu wapo site👇👇👇👇Vip lakin umeona hapo rwegasore wakandarasi wapo site?
Hii dude ukiangalia vizuri bango kuna commercial building and residential houses yaani ni two in one, kaa mkao wa kula hii speed wa hili jengo ni moto kama moto wa jehanamu.Mkuu nimeweka na picha kabisaa japo nimepiga asubuhi sana wapo floor ya tatu lakini unaweza kuzani wapo 1 floor watu wapo site👇👇👇👇View attachment 2487400
Hivi ndio lile la matofali ya kuchoma aliishi miaka nenda miaka rudi au lingine?Waoh ..Hilo jengo la hapo rufiji ,,,bado tu hawajamaliza finishing?
Mi Nazungumzia hili [emoji116]Hivi ndio lile la matofali ya kuchoma aliishi miaka nenda miaka rudi au lingine?
Sasa kama wapo floor ya 3 mbona inaonekana ni first floor kwenye pichaHii dude ukiangalia vizuri bango kuna commercial building and residential houses yaani ni two in one, kaa mkao wa kula hii speed wa hili jengo ni moto kama moto wa jehanamu.
Hili ni 10 mkuu, sasa wanaweka vioo, nilitaka kusogea huko kulipiga vizuri tatizo likawa muda.Mi Nazungumzia hili [emoji116]
Linaloonekana mwishoni hukoView attachment 2487404
Mkuu soma maelezo yangu utaona, nimesema wana basement na underground kwa chini ya ardhi.Sasa kama wapo floor ya 3 mbona inaonekana ni first floor kwenye picha
Na hii picha imeathiriwa na jua upande wa mashariki.Mi Nazungumzia hili [emoji116]
Linaloonekana mwishoni hukoView attachment 2487404
Pliz .Hilo jengo Huwa nalipenda sana .. ukipata muda naomba picha yake . nzuri.....nakupa location ya kupata picha ya vizuri .nenda kwenye mlima nyuma ya soko lile la unguja pale mbugani ...piga picha kutokea huo mlima ,utakuja kunishukuruHili ni 10 mkuu, sasa wanaweka vioo, nilitaka kusogea huko kulipiga vizuri tatizo likawa muda.
Ilo si tatizo tatizo ni mipango miji, wanatakiwa kutoa masharti kwa kila jengo la ghorofa kuwe na basement kwaajili ya parking ya magari kwa chini kwani kuna ubaya, sisi mwanza tumejitaidi barabara za katikati ya mji wetu ni pana sijui huko dar kwenu.Shida ya miji yetu ni iliandaliwa kwa ajili ya nyumba za kawaida. Sio maghorofa marefu marefu. Ona vibarabara vilivyo finyu halafu ndo migorofa inachipua.
Hili tatizo Dar ndo kubwa sana. Kariakoo, Ilala, Magomeni, Sinza, Manzese na Kinondoni kote kulidesigniwa kwa ajili ya nyumba za kawaida za kuishi. Sio kwa ajili ya maghorofa yanayozidi kuchipua kila mwaka.
Ni jengo zuri na refu na linamuundo unique, pia nimefurahi kuona wanaweka vioo tena vya blue.Pliz .Hilo jengo Huwa nalipenda sana .. ukipata muda naomba picha yake . nzuri.....nakupa location ya kupata picha ya vizuri .nenda kwenye mlima nyuma ya soko lile la unguja pale mbugani ...piga picha kutokea huo mlima ,utakuja kunishukuru
Ulivyosema mbugani nikakumbuka soko la mbugani, naona sasa linapendeza wanajenga mitaro na tayari halmashauri ya jiji la mwanza wamepiga barabara safiPliz .Hilo jengo Huwa nalipenda sana .. ukipata muda naomba picha yake . nzuri.....nakupa location ya kupata picha ya vizuri .nenda kwenye mlima nyuma ya soko lile la unguja pale mbugani ...piga picha kutokea huo mlima ,utakuja kunishukuru
Tuviwanja twa Kariakoo umetuona? Maghorofa yanajengwa kwenye kakiwanja ka mita 20 kwa 20.. kakizidi sana ni mita 20 kwa 30. Halafu juu huko ni sakafu kumi zimebebana. Hata ukiweka parking ya basement haitoshi. Kariakoo basement, ground floor na floor ya kwanza wakati mwingine hadi ya pili wanaweka maduka. Nyumba za kuishi kuanzia floor ya tatu kwenda juu.Ilo si tatizo tatizo ni mipango miji, wanatakiwa kutoa masharti kwa kila jengo la ghorofa kuwe na basement kwaajili ya parking ya magari kwa chini kwani kuna ubaya, sisi mwanza tumejitaidi barabara za katikati ya mji wetu ni pana sijui huko dar kwenu.