Mwanza City: The Photo Gallery

Ulivyosema mbugani nikakumbuka soko la mbugani, naona sasa linapendeza wanajenga mitaro na tayari halmashauri ya jiji la mwanza wamepiga barabara safi
Vip Ile hotel inayojengwa pale ghana
 
Naona pana kwasababu hatujazana kama wananchi wa dar na huku magari ni machache kulinganisha na huko kwenu.
 
Kwa yule nshomile? Ule ujenzi upo chini ya arms strong ndio wanapiga ghorofa 10+ yaan ghorofa 12 kama mambo yakienda kama yalivyopangwa.
Naomba unisaidie kupata contact ya mmoja wa mafundi kwenye hiyo miradi...nitashukuru sana[emoji120]
 
Ilemela imepata bahati ya mradi wa Green and smart Cities unaofadhiliwa na Jumuia ya Ulaya kupitia (France),Waliwasilisha miradi 9 lakini imekubalika 4. 1 ni mradi wa kuboresha mwalo wa Old Igombe, 2. Kuboresha Mwalo wa new Igombe 3.Uboreshaji wa soko Mwaloni 4. Ujenzi Mkubwa wa Soko la Buswelu utakaohusisha Soko+barabara itakayozunguka soko pamoja na Taa
 
Huo mradi Kwa ilemela sio chini ya bn 30
 
Hivi suala la uwanja wa ndege mwanza haliishi, huu Uwanja unatumika kwa siasa sana. sidhani kama maboresho yatafanyika leo au kesho
 
Usimsingizie Nyerere, alipokea nchi toka kwa wakoloni ikiwa hivyo hivyo, ukienda nchi kama Uingereza mitaa ya zamani barabara ni nyembamba ila wenzetu wakiona iko busy wanaigeuza kuwa one way.
 
Usimsingizie Nyerere, alipokea nchi toka kwa wakoloni ikiwa hivyo hivyo, ukienda nchi kama Uingereza mitaa ya zamani barabara ni nyembamba ila wenzetu wakiona iko busy wanaigeuza kuwa one way.
Kitu gani kilishindikana kuweka mambo sawa, hata sasa hivi inawezekana ni uamuzi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…