Mwanza City: The Photo Gallery

Oohh, kumbe
 
Kwanini Barrick wanachimba Lake zone wakati Head quarters zao zipo Dar Why isiwe Mwanza centre ya Rock City
 
Wakenya wanauchungu na miji yetu ya Mwanza na Arusha kuliko serikali yetu inavyotuchukulia, miji mikubea ya Mwanza na arusha haina flyovers ata moja, haina interchange, ni bora ata Arusha, Mwanza jiji hata dual carriage hakuna, upanuzi wa barabara ya kenyatta nao ni kama ndoto.... Jiji sio wingi wa watu tu bali inaendana na miundombinu bora na huduma za kijamii, kama serikali hamtaki kuweka miundombinu bora kwenye jiji la Mwanza basi tunaomba tamisemi mtuvue hadhi ya jiji, ni bora mkawape singida hiyo hadhi
 
Ni kwa sababu..uchumi wetu ni mdogo kuliko Kenya[emoji79]
 
Kwanini Barrick wanachimba Lake zone wakati Head quarters zao zipo Dar Why isiwe Mwanza centre ya Rock City
Magufuli Kuna kipind alipropose makao makuu ya twiga mineral ambalo ni kampuni tanzu la barrick na stamico .yajengwe mwanza sijui iliishia wapi .
 
Magufuli Kuna kipind alipropose makao makuu ya twiga mineral ambalo ni kampuni tanzu la barrick na stamico .yajengwe mwanza sijui iliishia wapi .
Kwasasa walamba asali wanataka kila kitu kirudi Dar.
 
Nyie si mlisema private sector inajenga huko ..itisheni harambee ya ujenzi wa barabara na flyover [emoji12][emoji12]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa hiyo mmeamua kutukomesha, basi mtusamehe jama jama.
 
Nyie si mlisema private sector inajenga huko ..itisheni harambee ya ujenzi wa barabara na flyover [emoji12][emoji12]
Mwanza jiji imeambulia soko na stendi ya nyegezi ndani ya miaka 20, Ilemela ina dual carriage Mwanza jiji hamna, Ilemela inapata miradi ya barabara Mwanza jiji inasubiri bajeti ya tarura, misungwi na sengerema unapata daraja la busisi Mwanza jiji ata kamradi ka kuokoteza hamna, sehemu nyingine za majiji kama Dar, dodoma, mbeya na arusha zinapigwa dual carriage za maana pamoja na maflyover Mwanza jiji ata mradi wa kilometa moja ya barabara hamna .......tunaomba mtuvue hiyo hadhi ya jiji tuwape sumbawanga.
 
Kwa maelezo ya Wikipedia ujenzi wa daraja utaenda sambamba na upanuzi wa barabara km 35 mashariki ya daraja ...ambayo ni barabara ya kisesa Usagara Hadi kigongo yenye km 35 ...

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Eastern end of the bridge to the city of mwanza 35 km.

Kisesa usagara umeitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…