Back in Mwanza, aisee nimepita dodoma kiukweli wametuacha mbali mno kwenye suala la barabara, hivi sisi mbona hatuna barabara na wala hakuna mpango huo kwani wahusika wanafanya kazi gani...kuna vitu vinakasirisha sana
Tumsikilize msigwa...saa nane atakuwa na majibuBack in Mwanza, aisee nimepita dodoma kiukweli wametuacha mbali mno kwenye suala la barabara, hivi sisi mbona hatuna barabara na wala hakuna mpango huo kwani wahusika wanafanya kazi gani...kuna vitu vinakasirisha sana
Mwanza huwa hatupati vile tunavyostahili sijui kwanini? Wabunge wetu kila siku wanalia na barabara miaka zaidi ya 20 lakini majibu wanayopewa kila siku ni kuwa wapo kwenye feasibility study na wanatafuta pesa aseee.Kama Mkoa, Halmashauri za jiji (Ilemela na Nyamagana) hasa wabunge wetu na secratariet ya Mkoa wanahitaji kulifanyia kazi suala la barabara Mwanza kama wanavyofanya kwenye mambo ya elimu / afya / maji. Hata sisi tunalipa kodi kama Dodoma/ Arusha / Mbeya/ DSM
Me naona wangebalance miji ikawa na hadhi zinazokaribiana sio kila kitu kinarundikwa dar wangeepusha vingi,Mwanza huwa hatupati vile tunavyostahili sijui kwanini? Wabunge wetu kila siku wanalia na barabara miaka zaidi ya 20 lakini majibu wanayopewa kila siku ni kuwa wapo kwenye feasibility study na wanatafuta pesa aseee.
Tanzania ipo tofauti sana miji ya nchi nyingine viongozi wamejaa ushamba wa hali juu, angalia kenya, Nairobi na mombasa ata kisumu hakuna tofauti, angalia msumbiji, maputo na beira hakuna utofauti, nenda Afrika kusini majiji yote yanalingana, nenda nchi za ulaya na miji yao nenda Asia na angalia ata America, huu upuuzi upo Tanzania tu wakidhani Tanzania ni Dar tu, wakiendelea kunyonya rasilimali za maeneo mengine kutengeneza jiji moja na CBD moja.Me naona wangebalance miji ikawa na hadhi zinazokaribiana sio kila kitu kinarundikwa dar wangeepusha vingi,
Kweli kaka, yani sijui ni ushamba sijui ni nini yani lile jiji limeshakuwa dogo yani limeelemewa mno kwa nini wasiexpand resources na miundombinu ili watu wasione Haja ya kwenda kusongamana huko! Barabara ya nyerere 25kms tu kuexppand wameshindwa kweli duhTanzania ipo tofauti sana miji ya nchi nyingine viongozi wamejaa ushamba wa hali juu, angalia kenya, Nairobi na mombasa ata kisumu hakuna tofauti, angalia msumbiji, maputo na beira hakuna utofauti, nenda Afrika kusini majiji yote yanalingana, nenda nchi za ulaya na miji yao nenda Asia na angalia ata America, huu upuuzi upo Tanzania tu wakidhani Tanzania ni Dar tu, wakiendelea kunyonya rasilimali za maeneo mengine kutengeneza jiji moja na CBD moja.
Nilimaanisha Kenyatta roadKweli kaka, yani sijui ni ushamba sijui ni nini yani lile jiji limeshakuwa dogo yani limeelemewa mno kwa nini wasiexpand resources na miundombinu ili watu wasione Haja ya kwenda kusongamana huko! Barabara ya nyerere 25kms tu kuexppand wameshindwa kweli duh
Wanawekeza sehemu moja ndio maana ata GDP ya Tanzania ipo chini sana na tutazidiwa adi uganda.Kweli kaka, yani sijui ni ushamba sijui ni nini yani lile jiji limeshakuwa dogo yani limeelemewa mno kwa nini wasiexpand resources na miundombinu ili watu wasione Haja ya kwenda kusongamana huko! Barabara ya nyerere 25kms tu kuexppand wameshindwa kweli duh
Link hiyo live event,Wana msisahau kuriport eneo la tukio MV Mwanza na video kutupia , ma Dr tuko sekoutule tunapig kaz
Hongera daktari!Wana msisahau kuriport eneo la tukio MV Mwanza na video kutupia , ma Dr tuko sekoutule tunapig kaz
Dokta andika vizuri jina la hospitali yako tutakutilia shaka[emoji3]Wana msisahau kuriport eneo la tukio MV Mwanza na video kutupia , ma Dr tuko sekoutule tunapig kaz
Mbona barabara ya musoma Huwa hamuipromote wakati yenyewe hata kwenye mpango wa miaka mitano haimo . ukilinganisha na hyo ya Kenyata ambayo imo Hadi kwenye mipango ya bajetiNilimaanisha Kenyatta road
Kama shinyanga wana CT scan ..itakoswa sekoteoure kweliOya Dr Kanyamulano mmeshafunga CT scan hapo!?
Nipo Shinyanga haijaanza kuoperate bado wanaohitaji CT scan tunawaleta BMCKama shinyanga wana CT scan ..itakoswa sekoteoure kweli
Atleast hiyo ya nyerere inapumua hii nyingine imezeeka na ni nyembamba achilia mbali kuleta sura mbovu kwenye jijiMbona barabara ya musoma Huwa hamuipromote wakati yenyewe hata kwenye mpango wa miaka mitano haimo . ukilinganisha na hyo ya Kenyata ambayo imo Hadi kwenye mipango ya bajeti
Hiyo ya Musoma mbona ndio Pana kuliko zote kwa nyerere na KenyattaAtleast hiyo ya nyerere inapumua hii nyingine imezeeka na ni nyembamba achilia mbali kuleta sura mbovu kwenye jiji
Yap ndo nimemaanisha hivyo hiyo ya musoma ni panaHiyo ya Musoma mbona ndio Pana kuliko zote kwa nyerere na Kenyatta