Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Kama Mkoa, Halmashauri za jiji (Ilemela na Nyamagana) hasa wabunge wetu na secratariet ya Mkoa wanahitaji kulifanyia kazi suala la barabara Mwanza kama wanavyofanya kwenye mambo ya elimu / afya / maji. Hata sisi tunalipa kodi kama Dodoma/ Arusha / Mbeya/ DSM
Back in Mwanza, aisee nimepita dodoma kiukweli wametuacha mbali mno kwenye suala la barabara, hivi sisi mbona hatuna barabara na wala hakuna mpango huo kwani wahusika wanafanya kazi gani...kuna vitu vinakasirisha sana