Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Ni sawa na mtu asifie Bilila Kempisky na Singita zilizopo Serengeti ambazo booking inafanyika Marekani alafu mgeni anakuja na begi lake lake tu ...hayo mambo ya 5 stars hotel ni kwa wageni na fahari ya macho kwa wenyeji,,,A town ni kwere huku mastar kibao unaowana kwenye tv washalala tukisema tuanze kutupi hotel ama ma camp site walzolala na gharama zake ni kwere...kina will smith..beckam ma plyer ndo usiseme kina lebron ..n.k acha kbisa kutuma hizo hotel...zako na kuikejel arusha.
Unapokihifadhi kinyesi sehemu salama aka chooni huitwa kujisaidia ila unakihifadhi kinyesi sehemu ambayo sio salama kama kwenye pagale, kichaka, ziwani, baharini ama kwenye swimming pool ama pembeni ya choo bila kulenga shimo hiyo inaitwa KUNYA maana huyo mtu hana tofauti na mnyamaTumia tafsida mkuu
Acha kunitajataja kindezi ndeziUnapokihifadhi kinyesi sehemu salama aka chooni huitwa kujisaidia ila unakihifadhi kinyesi sehemu ambayo sio salama kama kwenye pagale, kichaka, ziwani, baharini ama kwenye swimming pool ama pembeni ya choo bila kulenga shimo hiyo inaitwa KUNYA kama alivyosema Otorong'ong'o maana huyo mtu hana tofauti na mnyama
Samahani mkuu nilikuwa namfafanulia jamaa ulivyomwambia kama jamaa wameacha kunya ziwani (akasema tumia tafsida na ndio nikawa namweleza maana ya kunya ni nini)....anyway nimefuta jina lako kwenye comment yangu mkuu (samahani sana)Acha kunitajataja kindezi ndezi
Hamna tabu mkuu..Samahani mkuu nilikuwa namfafanulia jamaa ulivyomwambia kama jamaa wameacha kunya ziwani (akasema tumia tafsida na ndio nikawa namweleza maana ya kunya ni nini)....anyway nimefuta jina lako kwenye comment yangu mkuu (samahani sana)
KUNYA kama alivyosema @Otorong'ong'o maana huyo mtu hana tofauti na mnyama
Kati ya Mwanza na Kigali ni mji upi upo vizuri zaidi?Jiji zuri hili