Mwanza City: The Photo Gallery

Hicho ndicho nachoongelea, kumega hayao maeneo ya Usagara na Kisesa kuja mwanza jiji.
 
Wakuu mwenye taarifa ya gold refinery plant inayojengwa huku.Location,Cost na taarifa nyingine. Nimesikia by September itakuwa imekamilika.
 
Nilichogundua battle ya arusha vs mwanza ndiyo inayofanya threads zivutie na sidhan kama inaweza ikaja kufikia muafaka kwa sababu kwa upande wa investment za serikali mwanza iko juu tunaona hata mall yao imejengwa na serikali ila likija swala la private sector investments arusha imeiacha mwanza usawa wa mbingu na ardhi sio shule, hosptali au hoteli za binafsi za viwango mwanza magorofa ya 10+ hayafiki 10 arusha yako zaidi ya 20
Muhimu lets enjoy both cities kama unaona mji wako ni mzuri kuliko wa mwingine appreciate na mwenzako sababu hakuna mji uko perfect 100%
 
Hebu yaorodheshe hayo majengo 20 ya 10+ floors.
 
Hebu yaorodheshe hayo majengo 20 ya 10+ floors.
Watu wa mwanza bhana
Nikwamba huamini eti
Na si 20+ buildings tu zenye 10 plus buildings kuna ofis za kimataifa zaidi ya 10
Kumbuka mahakama ya afrika iko arusha
Eac hq ziko arusha
Tanapa hq zko arusha
Just to mention a few
Inshort usilinganishe mji wa wavuvi na arusha
 
Kwa hio pale EAC HQ zile ni ghorofa 10+ sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…