- Thread starter
- #281
sina uhakika ila nafikiri ni four star.Goldcrest ina star ngap??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sina uhakika ila nafikiri ni four star.Goldcrest ina star ngap??
Daah Holmand hotel,wont forget this hotel
Ndiyo, karibu na Kamanga ferry
pako vizuri sana.
Ndiyo, karibu na Kamanga ferry
Sawa mkuuNi swali au? Me mwenyeji huku napafahamu sana
Usiseme kimji wewe acha ujinga Mwanza jiji kubwa kuliko Arusha! Imekuwa jiji mwaka 2002,arusha 2010 hapo kuelewa mpaka uende chuo kikuu??Si mnapenda kulinganisha hicho kimji na Geneva ya Afrika acheni sifa za kijinga nyie.