Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe ni jirani yangu,mimi nakaa nyegezi majengo hua naingilia passion hotelMi naishi mitaa ya nyegezi jirani na pasword hotel.
Five star zipo hadi Serengeti na Ngorongoro, kwa hiyo Serengeti ni zaidi ya Mwanza?? Zipo pia Ugunja na Saadan Bwagamoyo!!Mtakuwa na ligi iaiyoiaha lakini ukweli ni kwamba So ndo jiji la pili kwa ukubwa na umuhimu Tanzania.Hivi Mwanza kuna Five stars hotel ? Usiniuluze kama Arusha ipo maana zipo.
Unachekesha sana. Nimegundua watu wa Arusha ni genious sana. Mmepiga keleleee weee wako kimya. Eti Rock City Conference Centre ya kusadikika sijui mtaanza lini ku-clear site. Wenzenu wana AICC toka mwaka 1977 inayoshindana ubora na conference centre za duniani huko nyie mnaongelea daraja la furahisha.Five star zipo hadi Serengeti na Ngorongoro, kwa hiyo Serengeti ni zaidi ya Mwanza?? Zipo pia Ugunja na Saadan Bwagamoyo!!Mtakuwa na ligi iaiyoiaha lakini ukweli ni kwamba So ndo jiji la pili kwa ukubwa na umuhimu Tanzania.
Arusha amealikwa km Russia alivyoalikwa G7. Lakini Arusha haina ukubwa wa kuwa jiji.Ni mji ambao unaweza kuzunguka kwa mguu na kumuuliza kwa saa5-7. Popolation watu laki 2?? Level ya Arusha ni Dodoma, Tanga na Moshi.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
maeneo ya clinic ng'ambo ya BOT OFFICEImepangwa kujengwa maeneo gani hii
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Ninampango wa kwenda mwaza. Nitakuwa na Drone camera. Nitaomba ruhusa kisha nitawaletea humu videos zote nitakazochukua.
kilakitu kinaenda kwa plans na kizur hakiitaji haraka,ujenzi utaanza 2020 mkuuUnachekesha sana. Nimegundua watu wa Arusha ni genious sana. Mmepiga keleleee weee wako kimya. Eti Rock City Conference Centre ya kusadikika sijui mtaanza lini ku-clear site. Wenzenu wana AICC toka mwaka 1977 inayoshindana ubora na conference centre za duniani huko nyie mnaongelea daraja la furahisha.
Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
Kwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
Nakupinga mkuu.arusha ni mji mkubwa tuu tena sana kuanzia tengeru hadi city center km15 na kote huko huoni pori au eneo la wazi.pia kutokea kisongo au duka bovu hadi mjini km 20 sasa utasemaje unaumaliza mji kwa masaa.kama huijui arusha bora unyamazeFive star zipo hadi Serengeti na Ngorongoro, kwa hiyo Serengeti ni zaidi ya Mwanza?? Zipo pia Ugunja na Saadan Bwagamoyo!!Mtakuwa na ligi iaiyoiaha lakini ukweli ni kwamba So ndo jiji la pili kwa ukubwa na umuhimu Tanzania.
Arusha amealikwa km Russia alivyoalikwa G7. Lakini Arusha haina ukubwa wa kuwa jiji.Ni mji ambao unaweza kuzunguka kwa mguu na kumuuliza kwa saa5-7. Popolation watu laki 2?? Level ya Arusha ni Dodoma, Tanga na Moshi.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Una uhakika kwamba ukumbi wa AICC walijenga wana Arusha peke yao au serikali ilitia mkono wake? Kumbuka mwaka huo arusha hawakuwa na uwezo wa kujenga ukumbi kama huo,usikurupukeUnachekesha sana. Nimegundua watu wa Arusha ni genious sana. Mmepiga keleleee weee wako kimya. Eti Rock City Conference Centre ya kusadikika sijui mtaanza lini ku-clear site. Wenzenu wana AICC toka mwaka 1977 inayoshindana ubora na conference centre za duniani huko nyie mnaongelea daraja la furahisha.
Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app