Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Ninampango wa kwenda mwaza. Nitakuwa na Drone camera. Nitaomba ruhusa kisha nitawaletea humu videos zote nitakazochukua.
 
Mi naishi mitaa ya nyegezi jirani na pasword hotel.
Kumbe wewe ni jirani yangu,mimi nakaa nyegezi majengo hua naingilia passion hotel

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Hivi Mwanza kuna Five stars hotel ? Usiniuluze kama Arusha ipo maana zipo.
Five star zipo hadi Serengeti na Ngorongoro, kwa hiyo Serengeti ni zaidi ya Mwanza?? Zipo pia Ugunja na Saadan Bwagamoyo!!Mtakuwa na ligi iaiyoiaha lakini ukweli ni kwamba So ndo jiji la pili kwa ukubwa na umuhimu Tanzania.

Arusha amealikwa km Russia alivyoalikwa G7. Lakini Arusha haina ukubwa wa kuwa jiji.Ni mji ambao unaweza kuzunguka kwa mguu na kumuuliza kwa saa5-7. Popolation watu laki 2?? Level ya Arusha ni Dodoma, Tanga na Moshi.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Unachekesha sana. Nimegundua watu wa Arusha ni genious sana. Mmepiga keleleee weee wako kimya. Eti Rock City Conference Centre ya kusadikika sijui mtaanza lini ku-clear site. Wenzenu wana AICC toka mwaka 1977 inayoshindana ubora na conference centre za duniani huko nyie mnaongelea daraja la furahisha.

Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
 
13343114_283911795287837_8429088841788047286_n.jpg

Hivi hii barabara kwanini isiwe one way ?
 
Unachekesha sana. Nimegundua watu wa Arusha ni genious sana. Mmepiga keleleee weee wako kimya. Eti Rock City Conference Centre ya kusadikika sijui mtaanza lini ku-clear site. Wenzenu wana AICC toka mwaka 1977 inayoshindana ubora na conference centre za duniani huko nyie mnaongelea daraja la furahisha.

Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
kilakitu kinaenda kwa plans na kizur hakiitaji haraka,ujenzi utaanza 2020 mkuu
 
441d1830b3fea8e2c069e021f7076a40.jpg
af26b6e35fe0b03dd300ff321599f52b.jpg
64a741fde3c073f9ca8f37efceaf02bf.jpg
336a74440b99b76aa491521e7d520ca3.jpg
hio ndio mega mall ujenzi utachukua miaka kumi kukamilika rock city iz the best
 
Five star zipo hadi Serengeti na Ngorongoro, kwa hiyo Serengeti ni zaidi ya Mwanza?? Zipo pia Ugunja na Saadan Bwagamoyo!!Mtakuwa na ligi iaiyoiaha lakini ukweli ni kwamba So ndo jiji la pili kwa ukubwa na umuhimu Tanzania.

Arusha amealikwa km Russia alivyoalikwa G7. Lakini Arusha haina ukubwa wa kuwa jiji.Ni mji ambao unaweza kuzunguka kwa mguu na kumuuliza kwa saa5-7. Popolation watu laki 2?? Level ya Arusha ni Dodoma, Tanga na Moshi.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Nakupinga mkuu.arusha ni mji mkubwa tuu tena sana kuanzia tengeru hadi city center km15 na kote huko huoni pori au eneo la wazi.pia kutokea kisongo au duka bovu hadi mjini km 20 sasa utasemaje unaumaliza mji kwa masaa.kama huijui arusha bora unyamaze

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hebu kaulizie vizur hiyo AICC walijenga wana arusha peke yao au na serikali ilitia mkono usikutupuke

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Msigombane yote ni mizuri wandugu I'la kuna sifa kuu mbili ambazo hutofautisha AR kuna ml meru na mz kuna zw Victoria, mz kuna Mawe meng AR hakuna

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Unachekesha sana. Nimegundua watu wa Arusha ni genious sana. Mmepiga keleleee weee wako kimya. Eti Rock City Conference Centre ya kusadikika sijui mtaanza lini ku-clear site. Wenzenu wana AICC toka mwaka 1977 inayoshindana ubora na conference centre za duniani huko nyie mnaongelea daraja la furahisha.

Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
Una uhakika kwamba ukumbi wa AICC walijenga wana Arusha peke yao au serikali ilitia mkono wake? Kumbuka mwaka huo arusha hawakuwa na uwezo wa kujenga ukumbi kama huo,usikurupuke

Back
Top Bottom