mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Hizo Ambapo hawajamaliza Ni zamani sahv wamemaliza potee!!! Imekuwa nzuri Sana muonekanoLimepakwa rangi? Na hawajamaliza baadhi ya majengo?
Typed Using KIDOLE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo Ambapo hawajamaliza Ni zamani sahv wamemaliza potee!!! Imekuwa nzuri Sana muonekanoLimepakwa rangi? Na hawajamaliza baadhi ya majengo?
Alusha haiwezi kuifikia Ng'wanzaKwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
Hapo ni sehemu gani mkuu?Moja kati ya barabara bomba kabisa Tz.
Ilemela karibu na campus ya DIT kuelekea AirportHapo ni sehemu gani mkuu?
Thnxs mkuu,long time sijafika pande hizo ila pamebadilika sana.Ilemela karibu na campus ya DIT kuelekea Airport
Acha kulinganishwa Mwanza na vitu vya kipumbavuAlusha haiwezi kuifikia Ng'wanza
👊👊👊sana!!Thnxs mkuu,long time sijafika pande hizo ila pamebadilika sana.
Hivi hawana photo gallery ya mji wao humu😊😊Acha kulinganishwa Mwanza na vitu vya kipumbavu
Ndio maana wanavamia thread za watu, mimi nipo Arusha mwaka wa tatu sasa pa hovyo sana.Hivi hawana photo gallery ya mji wao humu😊😊
😆😆😆 ngoja wakupigie kambi.....wana midomo hao😄Ndio maana wanavamia thread za watu, mimi nipo Arusha mwaka wa tatu sasa pa hovyo sana.
Wakuu mkiweza mtupe na views za huko Buhongwa, mecco, mkolani etc maana wengine tuko mbali na Mwanza saivi [emoji114]
Unateseka😅
Hiyo mashine Baada ya ukarabati wa kiwango haswa sahv ipo safi inaitwa NEW MV VICTORIA hapa kazi tu!!
Una tetesi mzee itaanza kupiga kazi lini? Maana enzi linapiga masafa ndo ulikuwa usafiri wangu mza-bk bk-mza.Hiyo mashine Baada ya ukarabati wa kiwango haswa sahv ipo safi inaitwa NEW MV VICTORIA hapa kazi tu!!
Typed Using KIDOLE