Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

2019-07-31.jpg
IMG_20190901_131717_1.jpg
IMG20190824162411.jpg
 
Kwa Wale mnaohitaji picha ambazo ni nje ya CBD ni ngumu kuzapata kwa sababu zifuatazo:

1
Wengi wa tunaopost humu hatuko mwanza hizi picha tunatafuta kwenye mitandao mbalimbali.

2
Hata walioko mza Kama huna drone camera huwezi kupata view nzuri, sanasana utapiga picha nyumba mbili au tatu
Tofauti na mjini Kati ukiingia ndani jengo refu ni rahisi kupiga picha.

3
Kama kuna mwenye nazo za maeneo ya buhongwa nk apost haukatazwi kuliko tulaumiane wakati hata sisi tunajitolea kutafuta online wala hatulipwi.
Mimi mwenyewe natamani nipate drone view ya bwiru, kiseke, buzuruga nk
 
Back
Top Bottom