mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Kwa taarifa zilizopo kutoka wakala wa huduma za meli, Walisema Mwezi ujao ndio itaanza Safari maana ukarabati wake Ni zaidi ya 95% Hadi Sasa kuanzia kubadili engeen wameweka mpya kupaka rangi ubadili viti wameweka viti vizuri Sana kuweka VIP lounge mifumo ya kisasa ya uendashaji na uongozi na juzi hapa nimeona inafanyiwa majaribio ya kuwasha engene na kule Castam wameanza kurekebisha bandari kwa kuongeza kina zaidi kurekebisha Ile reli Hadi kule station kupitia nyuma ya Nyamagana stadium kusema Ukweli n maboresho maridhawa mno..Una tetesi mzee itaanza kupiga kazi lini? Maana enzi linapiga masafa ndo ulikuwa usafiri wangu mza-bk bk-mza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Huyu bwana COVID_19 anaweza chelewesha sana huduma
Typed Using KIDOLE