Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Una tetesi mzee itaanza kupiga kazi lini? Maana enzi linapiga masafa ndo ulikuwa usafiri wangu mza-bk bk-mza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa zilizopo kutoka wakala wa huduma za meli, Walisema Mwezi ujao ndio itaanza Safari maana ukarabati wake Ni zaidi ya 95% Hadi Sasa kuanzia kubadili engeen wameweka mpya kupaka rangi ubadili viti wameweka viti vizuri Sana kuweka VIP lounge mifumo ya kisasa ya uendashaji na uongozi na juzi hapa nimeona inafanyiwa majaribio ya kuwasha engene na kule Castam wameanza kurekebisha bandari kwa kuongeza kina zaidi kurekebisha Ile reli Hadi kule station kupitia nyuma ya Nyamagana stadium kusema Ukweli n maboresho maridhawa mno..

Sema Huyu bwana COVID_19 anaweza chelewesha sana huduma

Typed Using KIDOLE
 
Shukrani ndugu kwa maelezo mazuri,let us wait mambo mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2018-09-16.jpg
2019-06-28.jpg
IMG_20170214_190526.jpg
IMG_20180924_073132.jpg
IMG_20180924_084205.jpg
 
Kwa taarifa zilizopo kutoka wakala wa huduma za meli, Walisema Mwezi ujao ndio itaanza Safari maana ukarabati wake Ni zaidi ya 95% Hadi Sasa kuanzia kubadili engeen wameweka mpya kupaka rangi ubadili viti wameweka viti vizuri Sana kuweka VIP lounge mifumo ya kisasa ya uendashaji na uongozi na juzi hapa nimeona inafanyiwa majaribio ya kuwasha engene na kule Castam wameanza kurekebisha bandari kwa kuongeza kina zaidi kurekebisha Ile reli Hadi kule station kupitia nyuma ya Nyamagana stadium kusema Ukweli n maboresho maridhawa mno..

Sema Huyu bwana COVID_19 anaweza chelewesha sana huduma

Typed Using KIDOLE
Hii kitu nasikia ikija kupiga honi hadi Kishiri watasikia.
 
View attachment 1233989View attachment 1233990View attachment 1233991View attachment 1233992
Mchoro wa itakavyokuwa stendi mpya ya mabasi, yatokayo mikoa iliyopo upande wa Mashariki na kaskazin Mashariki mwa mji wa Mwanza pamoja na nchi jirani ya Kenya (Musoma, Sirari, Bariadi, Nairobi , Serengeti, Mombasa) ,ujenzi ushaanza eneo la Kona ya Nyamhongoro, na mkandarasi yupo site day and night...

Zamani stendi hii ilikuwepo eneo la Buzuruga , na Punde stendi mpya itakapokamilika , stendi ya Buzuruga itabadilishwa matumizi....
safi sanaaaaaa, mwanza kwetu , Nyamuhongoro kwangu
 
Back
Top Bottom