Ghorofa 17 acha masihara kitombile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghorofa 17 acha masihara kitombile!
Hakika nakuambia sasa lina gorofa 11 na 2 undeground floor.Ghorofa 17 acha masihara kitombile!
Basi itakuwa poa sana aisee!Hakika nakuambia sasa lina gorofa 11 na 2 undeground floor.
Baada ya jemedari wetu kamanda chief na ntemi hayati Magufuli kufariki naona magorofa yajengwa kwa sana mitaa ya uhuru, rufiji, dampo nk hii inafanya down town kuexpand sana asee.
Nera bado imesimama hiyo ni ilemela ila Nyamagana inajengwa sana kwa sasa, ilemela miundombinu ya barabara wapo vizuri, nilipita huko buswelu juzi niliona ujenzi wa barabara ya lami kutoka buswelu kahama adi ilalila nazani itafika adi kabusungu.
Ni habari njema sana kwa mwanza. Pongezi kwenu
Me nipo kwenye lile jukwaa la mambo yetu yalee kule MMU.Ni habari njema sana kwa mwanza. Pongezi kwenu
Ila wewe kitombile wewe ndugu yangu mi sikuaminigi hahah
Fanya kutuletea pia miradi ya ujenzi inayoendelea bara bara za pamba na rwegasore. Asante kwa kutuonyesha miradi ya rufiji, ingawaje najua ni mingi zaidi ya hiyoNera bado imesimama hiyo ni ilemela ila Nyamagana inajengwa sana kwa sasa, ilemela miundombinu ya barabara wapo vizuri, nilipita huko buswelu juzi niliona ujenzi wa barabara ya lami kutoka buswelu kahama adi ilalila nazani itafika adi kabusungu.
Rufiji kuna miradi mingi sana ya commercial tall buildings, barabara ya pamba na rwegasore mbona ni kitambo sana zilishavunjwa na kujengwa vizuri kwa viwango vya lami.Fanya kutuletea pia miradi ya ujenzi inayoendelea bara bara za pamba na rwegasore. Asante kwa kutuonyesha miradi ya rufiji, ingawaje najua ni mingi zaidi ya hiyo
Nimekupata kumbe miradi ya ujenzi ya mitaa ya pamba na rwegasore basi nitatupia picha kesho ni mingi sana nitazungukia sehemu moja adi nyingine.Fanya kutuletea pia miradi ya ujenzi inayoendelea bara bara za pamba na rwegasore. Asante kwa kutuonyesha miradi ya rufiji, ingawaje najua ni mingi zaidi ya hiyo
Yes, George Binagi msiache ku subscribe tu https://www.youtube.com/channel/UCWZM_D59ne12iZ8_gL1IiJANikionaga humu ndani pamepoa kwa sie tulio mbali na mwanza huwa naenda YouTube nasearch channel ya BMG TV huwa issues/projects za mwanza zinakuwa kule
Jiji zuri hili
Mwanza Jiji Tamu Sana
Kwangu mimi the best city in east afrika
Jiji tulivu na hali ya hewa saaaaaaafiiiKwangu mimi the best city in east afrika
Jiji tulivu na hali ya hewa saaaaaaafiii