Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Nera imepoa sana

1632852257127.jpeg

Baada ya jemedari wetu kamanda chief na ntemi hayati Magufuli kufariki naona magorofa yajengwa kwa sana mitaa ya uhuru, rufiji, dampo nk hii inafanya down town kuexpand sana asee.
 
Nera bado imesimama hiyo ni ilemela ila Nyamagana inajengwa sana kwa sasa, ilemela miundombinu ya barabara wapo vizuri, nilipita huko buswelu juzi niliona ujenzi wa barabara ya lami kutoka buswelu kahama adi ilalila nazani itafika adi kabusungu.
Fanya kutuletea pia miradi ya ujenzi inayoendelea bara bara za pamba na rwegasore. Asante kwa kutuonyesha miradi ya rufiji, ingawaje najua ni mingi zaidi ya hiyo
 
Fanya kutuletea pia miradi ya ujenzi inayoendelea bara bara za pamba na rwegasore. Asante kwa kutuonyesha miradi ya rufiji, ingawaje najua ni mingi zaidi ya hiyo
Rufiji kuna miradi mingi sana ya commercial tall buildings, barabara ya pamba na rwegasore mbona ni kitambo sana zilishavunjwa na kujengwa vizuri kwa viwango vya lami.
 
Nikionaga humu ndani pamepoa kwa sie tulio mbali na mwanza huwa naenda YouTube nasearch channel ya BMG TV huwa issues/projects za mwanza zinakuwa kule
 
Back
Top Bottom