Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mwenye kuuelewa huu mradi ni vitu gani vinajengwa tunajua ni mrad wa green city lkn bark sijajua vitu vitakavyotekelezwa
 
Ilibidi nifatilie asee nikapata connection ya ghorofa linalojengwa downtown pale lumumba na hilo linalotaka kujengwa hapo nera, nilipodadisi nikaambiwa litapanda floor 12+ ila hawa matajiri huwa wanazingua wanaweza kuishia ata 10 floor tu ila patakuwa mzuka sana.
Sema kiwanja kidogo...
 
Beaming View attachment 2412459
FB_IMG_1668085918025.jpg
 
Back
Top Bottom