Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii barabara kwa sasa imependeza sana na inavutia sana, kwa jinsi lami ilivyo nyeusi, utazani barabara imepigwa kiwi.
Sema kiwanja kidogo...Ilibidi nifatilie asee nikapata connection ya ghorofa linalojengwa downtown pale lumumba na hilo linalotaka kujengwa hapo nera, nilipodadisi nikaambiwa litapanda floor 12+ ila hawa matajiri huwa wanazingua wanaweza kuishia ata 10 floor tu ila patakuwa mzuka sana.
Tatizo mwanza downtown hakuna maeneo magorofa tunayojenga ni kama ya india🤣🤣🤣, lakini tulipaswa kujenga maghorofa makubwa makubwa kwa psi kubwa kama za america au asia, yaana jengo moja kucover eneo kubwa.Sema kiwanja kidogo...
Wapi hapo mkuu?
buswelu hiyo mkuuWapi hapo mkuu?
Na hapa Buswelu?
Mulioko Mwanza tunaomba update za hivi karibuni tafadhari!
Sijawahi waamini unakumbuka ile feasibility study ya BRT Mwanza ilishia wapiTayari fedha ishaandaliwa ...na umoja wa ulaya ..sa hv ni hatua za utekelezaji... mwakani wanafanya feasibility study na 2024 ujenzi unaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sijui rafik anguSijawahi waamini unakumbuka ile feasibility study ya BRT Mwanza ilishia wapi