Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Huko Mwamashimba kwa walima Ndengu na mahindi! Mkuu kule saizi pa moto sana! Sengerema yenyewe inamageto usipime upande wa Magu wachawi waliokuwa wanatukwamisha walishazeeka na kufa wameingia vijana kizazi kipya nyanguge mpaka magu mjini pamebadilika sana!
[emoji28][emoji28][emoji28] kwimba home place

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko Mwamashimba kwa walima Ndengu na mahindi! Mkuu kule saizi pa moto sana! Sengerema yenyewe inamageto usipime upande wa Magu wachawi waliokuwa wanatukwamisha walishazeeka na kufa wameingia vijana kizazi kipya nyanguge mpaka magu mjini pamebadilika sana!
Mh.mwamashimba kule mvua ikinyesha inakuwaga hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JINSI NILIVYONUSURIKA KIFO BAADA YA MIKDDE KUNIPONZA
Kama kawaida juzi siku ya jumapili niliingia kwenye uzi wangu pendwa wa Mwanza city photo gallery kupeana mawili matatu kuhusiana na miradi mbalimbali zinazoendelea jiji Mwanza huku tukihabarishana juu ya mambo kadha wa kadha, sasa kuna mdau wangu mmoja anajulikana kama mikdde akaomba picha ya jengo la mahakama kuu ya kutolea haki kanda ya ziwa lililojengwa Buswelu jiji Mwanza, nami bila hajizi niliwiwa kulipost humu tena ingawa nilishawahi kulitupia humu ndani.
*
Story inaanza hivi siku ya jana nilikuwa na mihadi na mganga mkuu wa Ilemela, kwaajiri ya kupewa mawili matatu kuhusiana na mambo mbalimbli ya afya, kama kawaida niliamka asubuhi nikijua task yangu leo asubuhi nionane na DMO then nirudi job kupeleka mrejesho.
Nilifika ofisini kwa DMO, kwa bahati mbaya sikumkuta, bali nilikutana na mdada mmoja mzuri balaa aliyejitambulisha kama secretary wake, kiukweli huyu mdada alinitoa udenda😋😋😋😋 lakini nikapiga moyo konde nikisema kitombile acha hili kombe linipite 😂😂😂, nikataka kuchukua namba kwa mahitaji yangu ya baadae lakini nikasita, basi yule dada akaniambia kama naweza kumsubiri sawa usipoweza unaweza kwenda nami nitamtaharifu ujio wako ili mpange tena mihadi ya kuonana, tuliagana na yule bidada nikaondoka zangu.
Nilipokuwa naondoka nikakumbuka mdau wangu wa humu Mikdde aliniomba picha ya jengo la mahakama ya kutolea haki🤔🤔🤔, nikaajisemea "muda ndio huu sasa" nilijisogeza mdogo mdogo adi kwenye jengo hilo kwani halipo mbali na ofisi za DMO pamoja na NIDA.
Wakati nakaribia eneo hilo la jengo nikaona watu wengi sana na 95% walikuwa wanawake waliopendeza sana kwenye mavazi mbalimbli, na vidada vya size yangu vilikuwepo kama ilivyoada kitombile mimi huwa mdhaifu sana kwa wadada warembo huwa nakuwa kichaa kwa muda, wakati ni kiwaza nifanye nini kufanikisha hazima yangu ya kupata picha ya hili jengo.........
ITAENDELEA..
 
JINSI NILIVYONUSURIKA KIFO BAADA YA MIKDDE KUNIPONZA
Kama kawaida juzi siku ya jumapili niliingia kwenye uzi wangu pendwa wa Mwanza city photo gallery kupeana mawili matatu kuhusiana na miradi mbalimbali zinazoendelea jiji Mwanza huku tukihabarishana juu ya mambo kadha wa kadha, sasa kuna mdau wangu mmoja anajulikana kama mikdde akaomba picha ya jengo la mahakama kuu ya kutolea haki kanda ya ziwa lililojengwa Buswelu jiji Mwanza, nami bila hajizi niliwiwa kulipost humu tena ingawa nilishawahi kulitupia humu ndani.
*
Story inaanza hivi siku ya jana nilikuwa na mihadi na mganga mkuu wa Ilemela, kwaajiri ya kupewa mawili matatu kuhusiana na mambo mbalimbli ya afya, kama kawaida niliamka asubuhi nikijua task yangu leo asubuhi nionane na DMO then nirudi job kupeleka mrejesho.
Nilifika ofisini kwa DMO, kwa bahati mbaya sikumkuta, bali nilikutana na mdada mmoja mzuri balaa aliyejitambulisha kama secretary wake, kiukweli huyu mdada alinitoa udenda[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] lakini nikapiga moyo konde nikisema kitombile acha hili kombe linipite [emoji23][emoji23][emoji23], nikataka kuchukua namba kwa mahitaji yangu ya baadae lakini nikasita, basi yule dada akaniambia kama naweza kumsubiri sawa usipoweza unaweza kwenda nami nitamtaharifu ujio wako ili mpange tena mihadi ya kuonana, tuliagana na yule bidada nikaondoka zangu.
Nilipokuwa naondoka nikakumbuka mdau wangu wa humu Mikdde aliniomba picha ya jengo la mahakama ya kutolea haki[emoji848][emoji848][emoji848], nikaajisemea "muda ndio huu sasa" nilijisogeza mdogo mdogo adi kwenye jengo hilo kwani halipo mbali na ofisi za DMO pamoja na NIDA.
Wakati nakaribia eneo hilo la jengo nikaona watu wengi sana na 95% walikuwa wanawake waliopendeza sana kwenye mavazi mbalimbli, na vidada vya size yangu vilikuwepo kama ilivyoada kitombile mimi huwa mdhaifu sana kwa wadada warembo huwa nakuwa kichaa kwa muda, wakati ni kiwaza nifanye nini kufanikisha hazima yangu ya kupata picha ya hili jengo.........
ITAENDELEA..
[emoji28][emoji28]acha nifurahi kidogo japo story Ina huzuni[emoji24][emoji24]...naomba uimalizie please...ila I'm sorry kwa msala uliopata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani kweli mwanza inapendwa like millio kumi mida hii????? dodooooooo! kweli nitarudi Mwanza
 
Tampere Garden inafeli wapi??View attachment 2417729
FB_IMG_16649153019708127.jpg
 
Kwani kitangiri ndo Kirumba?
Hata mimi nashangaa umeambiwa kitangiri na sio kirumba.
Halafu saa nyingine hizi design haiwezi kukupa picha kamili ya kitu, hata Rockcity Mall Ukiangalia michoro unaona dogo, kanisa la kawekamo Ukiangalia michoro ni dogo ila unaambiwa litabeba watu 7,000 at one go.

Hawa archivista sijaona mradi wowote wa kwao umejengwa Toka niwajuef
 
Kituo cha kujaza mafuta OLASITI igoma , naona ni project waliyoisimamia kuanzia mchoro
 
Back
Top Bottom