Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Upo mwanza sehemu gani na unamda gani hujafika mkolani sio mkolani barabarani?
huko ,,mkolani kuanzia hapo center ingia njia ya mkuu wa wilaya ..unakatiza hapo nida ,,unaingia ndani ndani Hadi mitaa ya huku juu buhongwa ndani kabisa..unashuka na hyo njia unakuja kutokea mkolani darajani
 
Attachments

  • JamiiForums829093282.jpeg
    JamiiForums829093282.jpeg
    172.6 KB · Views: 13
Si hii au 😁
Tatizo lenu nyie mnapenda kuvikuza vitu hovyo hovyo hata kwenye hio picha kwanzia ilipo gereji ya nyehunge kwenda hadi mwanachi pananyumba kali na nzuri kuzidi hata nyasaka,isamilo na io kona ya igombe 😄

Vijana mkiona ghorofa tatu zimepangana tayari pashakua pa kishua😄😄😄

Nimeona top 6 yako ya sehemu nzuri mwanza utuambia wewe mwanchi inauzuri gani kuizidi nyamhongolo usije na story kua kuna matycoons😄 kama wakina batco na kisire (nyumba ya batco ya mwanchi yakawaida sana na yeye anaishi kona ya bwiru tukija kwa kisire.... kisire sio mtu mmoja hilo ni kampun la Familia wanaishi huko nyamongo

Twende taratibu umetumia sababu zipi za kuiweka mwanchi juu ya nyamhongolo
 
Sababu ni zile zile . ubora wa makazi ,uwepo wa apartments za kisasa ,upatikanaji wa huduma ...NB ukiniletea nyumba Kali kuzidi hii hapo nyamhongolo nitag👇
 
Attachments

  • IMG_20221206_110521_752.jpg
    IMG_20221206_110521_752.jpg
    1.9 MB · Views: 14
  • IMG_20221206_111432_891.jpg
    IMG_20221206_111432_891.jpg
    2 MB · Views: 17
😄😄 Sasa unaongelea ilemela gani? Kule juu umetaja ilemela na nyasaka au unaongelea manispaa nzima ila kama ile ilemela ya kona igombe yenye zile apartments 5 aiseee pale bado sana kwa sasa😀
Kwenye list naona Ilemela, sijui ipi hiyo, na mimi nimesema kama ni hiyo ya malaika bado sana maana ndio imeanza kujengwa, ila kwa baadae ni eneo litakalokuwa na muonekano wa kuvutia endapo ujenzi holela hautagusa kule
 
Tatizo lenu nyie mnapenda kuvikuza vitu hovyo hovyo hata kwenye hio picha kwanzia ilipo gereji ya nyehunge kwenda hadi mwanachi pananyumba kali na nzuri kuzidi hata nyasaka,isamilo na io kona ya igombe [emoji1]

Vijana mkiona ghorofa tatu zimepangana tayari pashakua pa kishua[emoji1][emoji1][emoji1]

Nimeona top 6 yako ya sehemu nzuri mwanza utuambia wewe mwanchi inauzuri gani kuizidi nyamhongolo usije na story kua kuna matycoons[emoji1] kama wakina batco na kisire (nyumba ya batco ya mwanchi yakawaida sana na yeye anaishi kona ya bwiru tukija kwa kisire.... kisire sio mtu mmoja hilo ni kampun la Familia wanaishi huko nyamongo

Twende taratibu umetumia sababu zipi za kuiweka mwanchi juu ya nyamhongolo
Kwani wew mwananchi unaanza kuhesabu wapi ...inaanzia hapo CMG pita buzuruga plaza njoo hapa kwenye junction ya mataa nenda na hyo barabara Hadi mahina jirani shule ya alliance...... kiufupi mwananchi inameza buzuruga ya nyamagana,na sehemu ndogo ya mahina kati
 
Sababu ni zile zile . ubora wa makazi ,uwepo wa apartments za kisasa ,upatikanaji wa huduma ...NB ukiniletea nyumba Kali kuzidi hii hapo nyamhongolo nitag👇
Naona unamchokoza cha asubuhi akuletee picha tu, mbona nyumba kali kama hizi zinajengwa nyingi sana nyamhongolo na hotel za hadhi lakini all in all achana na bwiru na capripoint hizo zinaligi yake kamanda😁😁😁
 
Sababu ni zile zile . ubora wa makazi ,uwepo wa apartments za kisasa ,upatikanaji wa huduma ...NB ukiniletea nyumba Kali kuzidi hii hapo nyamhongolo nitag[emoji116]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umeona sasa unarudi kulekule mwanchi inaweza kua na nyumba kali kabisa tatu zenye gharama ya billion 10 kila moja zilizobakia zikawa zenye thamani ya million 300 ila nyamhongolo kunaweza kusiwe na nyumba yenye thamani ya 10 billion ila zikawawepo nyumba 500 zenye thamani ya billion 6 kila moja nazan kwa huu mfano utakua umenipata

Kama huduma zipi ambazo nyamhongolo hazipo
 
Kwenye list naona Ilemela, sijui ipi hiyo, na mimi nimesema kama ni hiyo ya malaika bado sana maana ndio imeanza kujengwa, ila kwa baadae ni eneo litakalokuwa na muonekano wa kuvutia endapo ujenzi holela hautagusa kule
Tunaongelea kata ya ilemela ni bora sana kuanzia mandhari na nyumba kali kuanzia kwa tunza adi malaika, kuna ilemela mahakamani adi kule kwenye chuo cha wahudumu wa ndege adi malaika na ile kona ya igombe mpaka radio free africa.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umeona sasa unarudi kulekule mwanchi inaweza kua na nyumba kali kabisa tatu zenye gharama ya billion 10 kila moja zilizobakia zikawa zenye thamani ya million 300 ila nyamhongolo kunaweza kusiwe na nyumba yenye thamani ya 10 billion ila zikawawepo nyumba 500 zenye thamani ya billion 6 kila moja nazan kwa huu mfano utakua umenipata

Kama huduma zipi ambazo nyamhongolo hazipo
Lakini nyamhongolo inaikalisha hiyo buswelu yako😂😂😂😂😂😂
 
Kwani wew mwananchi unaanza kuhesabu wapi ...inaanzia hapo CMG pita buzuruga plaza njoo hapa kwenye junction ya mataa nenda na hyo barabara Hadi mahina jirani shule ya alliance...... kiufupi mwananchi inameza buzuruga ya nyamagana,na sehemu ndogo ya mahina kati
Kama ni hivyo basi mwananchi ni nzuri kuliko bwiru ile point yangu ya nyakato ni nzuri unazidi kuipa nguvu

Pia nyakato wamemtoa otile brown[emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umeona sasa unarudi kulekule mwanchi inaweza kua na nyumba kali kabisa tatu zenye gharama ya billion 10 kila moja zilizobakia zikawa zenye thamani ya million 300 ila nyamhongolo kunaweza kusiwe na nyumba yenye thamani ya 10 billion ila zikawawepo nyumba 500 zenye thamani ya billion 6 kila moja nazan kwa huu mfano utakua umenipata

Kama huduma zipi ambazo nyamhongolo hazipo
Mi sizungumzii quantity,, Nazungumzia quality...ukisema tuangalie quantity capripoint itabidi isiwe ya kwanza ..... nyamhongolo ipo Kama buhongwa.. nyumba nyingi za msouth,,lakin likija suala la makasri ,aka palace ,,,au mansion ..mwananchi ni level nyingine..japo nyamhongolo nayo inakuja ,,tuipe 3 years next maybe
 
Kama ni hivyo basi mwananchi ni nzuri kuliko bwiru ile point yangu ya nyakato ni nzuri unazidi kuipa nguvu

Pia nyakato wamemtoa otile brown[emoji1][emoji1]
[emoji33][emoji33][emoji28][emoji28][emoji28]unaanza kutafuta pa kutokea ..mim nimekuletea ushahidi wa picha lakin mwenzagu maneno tupu ..by the way [emoji116]
IMG_20221206_112039_511.jpg
IMG_20221206_110914_398.jpg
 
Mi sizungumzii quantity,, Nazungumzia quality...ukisema tuangalie quantity capripoint itabidi isiwe ya kwanza ..... nyamhongolo ipo Kama buhongwa.. nyumba nyingi za msouth,,lakin likija suala la makasri ,aka palace ,,,au mansion ..mwananchi ni level nyingine..japo nyamhongolo nayo inakuja ,,tuipe 3 years next maybe
Ata mimi nilikuwa nasema hapa tukibishania quantity basi hakuna wakushindana na buhongwa wala igoma, lakini kwa quality yaan mansions, palaces, castles, bangalows hapa Capripoint, bwiru, isamilo na nyasaka huwez kuziondoa.
 
Back
Top Bottom