Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
😀😀 wazee wa kusubiri picha
Nyakato ipi Tena .. brother. ,,,maybe mwananchi ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyakato ipi Tena .. brother. ,,,maybe mwananchi ...
huko ,,mkolani kuanzia hapo center ingia njia ya mkuu wa wilaya ..unakatiza hapo nida ,,unaingia ndani ndani Hadi mitaa ya huku juu buhongwa ndani kabisa..unashuka na hyo njia unakuja kutokea mkolani darajaniUpo mwanza sehemu gani na unamda gani hujafika mkolani sio mkolani barabarani?
Si hii au 😁😀😀 wazee wa kusubiri picha
Tatizo lenu nyie mnapenda kuvikuza vitu hovyo hovyo hata kwenye hio picha kwanzia ilipo gereji ya nyehunge kwenda hadi mwanachi pananyumba kali na nzuri kuzidi hata nyasaka,isamilo na io kona ya igombe 😄Si hii au 😁
Sababu ni zile zile . ubora wa makazi ,uwepo wa apartments za kisasa ,upatikanaji wa huduma ...NB ukiniletea nyumba Kali kuzidi hii hapo nyamhongolo nitag👇Tatizo lenu nyie mnapenda kuvikuza vitu hovyo hovyo hata kwenye hio picha kwanzia ilipo gereji ya nyehunge kwenda hadi mwanachi pananyumba kali na nzuri kuzidi hata nyasaka,isamilo na io kona ya igombe 😄
Vijana mkiona ghorofa tatu zimepangana tayari pashakua pa kishua😄😄😄
Nimeona top 6 yako ya sehemu nzuri mwanza utuambia wewe mwanchi inauzuri gani kuizidi nyamhongolo usije na story kua kuna matycoons😄 kama wakina batco na kisire (nyumba ya batco ya mwanchi yakawaida sana na yeye anaishi kona ya bwiru tukija kwa kisire.... kisire sio mtu mmoja hilo ni kampun la Familia wanaishi huko nyamongo
Twende taratibu umetumia sababu zipi za kuiweka mwanchi juu ya nyamhongolo
Kwenye list naona Ilemela, sijui ipi hiyo, na mimi nimesema kama ni hiyo ya malaika bado sana maana ndio imeanza kujengwa, ila kwa baadae ni eneo litakalokuwa na muonekano wa kuvutia endapo ujenzi holela hautagusa kule😄😄 Sasa unaongelea ilemela gani? Kule juu umetaja ilemela na nyasaka au unaongelea manispaa nzima ila kama ile ilemela ya kona igombe yenye zile apartments 5 aiseee pale bado sana kwa sasa😀
Nimeanza kuamini Nyamhongolo huijuiSababu ni zile zile . ubora wa makazi ,uwepo wa apartments za kisasa ,upatikanaji wa huduma ...NB ukiniletea nyumba Kali kuzidi hii hapo nyamhongolo nitag👇
Kwani wew mwananchi unaanza kuhesabu wapi ...inaanzia hapo CMG pita buzuruga plaza njoo hapa kwenye junction ya mataa nenda na hyo barabara Hadi mahina jirani shule ya alliance...... kiufupi mwananchi inameza buzuruga ya nyamagana,na sehemu ndogo ya mahina katiTatizo lenu nyie mnapenda kuvikuza vitu hovyo hovyo hata kwenye hio picha kwanzia ilipo gereji ya nyehunge kwenda hadi mwanachi pananyumba kali na nzuri kuzidi hata nyasaka,isamilo na io kona ya igombe [emoji1]
Vijana mkiona ghorofa tatu zimepangana tayari pashakua pa kishua[emoji1][emoji1][emoji1]
Nimeona top 6 yako ya sehemu nzuri mwanza utuambia wewe mwanchi inauzuri gani kuizidi nyamhongolo usije na story kua kuna matycoons[emoji1] kama wakina batco na kisire (nyumba ya batco ya mwanchi yakawaida sana na yeye anaishi kona ya bwiru tukija kwa kisire.... kisire sio mtu mmoja hilo ni kampun la Familia wanaishi huko nyamongo
Twende taratibu umetumia sababu zipi za kuiweka mwanchi juu ya nyamhongolo
Naona unamchokoza cha asubuhi akuletee picha tu, mbona nyumba kali kama hizi zinajengwa nyingi sana nyamhongolo na hotel za hadhi lakini all in all achana na bwiru na capripoint hizo zinaligi yake kamanda😁😁😁Sababu ni zile zile . ubora wa makazi ,uwepo wa apartments za kisasa ,upatikanaji wa huduma ...NB ukiniletea nyumba Kali kuzidi hii hapo nyamhongolo nitag👇
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umeona sasa unarudi kulekule mwanchi inaweza kua na nyumba kali kabisa tatu zenye gharama ya billion 10 kila moja zilizobakia zikawa zenye thamani ya million 300 ila nyamhongolo kunaweza kusiwe na nyumba yenye thamani ya 10 billion ila zikawawepo nyumba 500 zenye thamani ya billion 6 kila moja nazan kwa huu mfano utakua umenipataSababu ni zile zile . ubora wa makazi ,uwepo wa apartments za kisasa ,upatikanaji wa huduma ...NB ukiniletea nyumba Kali kuzidi hii hapo nyamhongolo nitag[emoji116]
Tunaongelea kata ya ilemela ni bora sana kuanzia mandhari na nyumba kali kuanzia kwa tunza adi malaika, kuna ilemela mahakamani adi kule kwenye chuo cha wahudumu wa ndege adi malaika na ile kona ya igombe mpaka radio free africa.Kwenye list naona Ilemela, sijui ipi hiyo, na mimi nimesema kama ni hiyo ya malaika bado sana maana ndio imeanza kujengwa, ila kwa baadae ni eneo litakalokuwa na muonekano wa kuvutia endapo ujenzi holela hautagusa kule
Lakini nyamhongolo inaikalisha hiyo buswelu yako😂😂😂😂😂😂[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umeona sasa unarudi kulekule mwanchi inaweza kua na nyumba kali kabisa tatu zenye gharama ya billion 10 kila moja zilizobakia zikawa zenye thamani ya million 300 ila nyamhongolo kunaweza kusiwe na nyumba yenye thamani ya 10 billion ila zikawawepo nyumba 500 zenye thamani ya billion 6 kila moja nazan kwa huu mfano utakua umenipata
Kama huduma zipi ambazo nyamhongolo hazipo
Kama ni hivyo basi mwananchi ni nzuri kuliko bwiru ile point yangu ya nyakato ni nzuri unazidi kuipa nguvuKwani wew mwananchi unaanza kuhesabu wapi ...inaanzia hapo CMG pita buzuruga plaza njoo hapa kwenye junction ya mataa nenda na hyo barabara Hadi mahina jirani shule ya alliance...... kiufupi mwananchi inameza buzuruga ya nyamagana,na sehemu ndogo ya mahina kati
Mi sizungumzii quantity,, Nazungumzia quality...ukisema tuangalie quantity capripoint itabidi isiwe ya kwanza ..... nyamhongolo ipo Kama buhongwa.. nyumba nyingi za msouth,,lakin likija suala la makasri ,aka palace ,,,au mansion ..mwananchi ni level nyingine..japo nyamhongolo nayo inakuja ,,tuipe 3 years next maybe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umeona sasa unarudi kulekule mwanchi inaweza kua na nyumba kali kabisa tatu zenye gharama ya billion 10 kila moja zilizobakia zikawa zenye thamani ya million 300 ila nyamhongolo kunaweza kusiwe na nyumba yenye thamani ya 10 billion ila zikawawepo nyumba 500 zenye thamani ya billion 6 kila moja nazan kwa huu mfano utakua umenipata
Kama huduma zipi ambazo nyamhongolo hazipo
Otile brown amekulia hapo mecco.😂😂😂😂Kama ni hivyo basi mwananchi ni nzuri kuliko bwiru ile point yangu ya nyakato ni nzuri unazidi kuipa nguvu
Pia nyakato wamemtoa otile brown[emoji1][emoji1]
[emoji33][emoji33][emoji28][emoji28][emoji28]unaanza kutafuta pa kutokea ..mim nimekuletea ushahidi wa picha lakin mwenzagu maneno tupu ..by the way [emoji116]Kama ni hivyo basi mwananchi ni nzuri kuliko bwiru ile point yangu ya nyakato ni nzuri unazidi kuipa nguvu
Pia nyakato wamemtoa otile brown[emoji1][emoji1]
Kwa makazi bora kabisa ya kisasa na mengi sio ghorofa mbili zilizopangana buswelu naipa namba moja nyumba kali zilizo buswelu ukizihamishia mbeya,Idodomya na arusha panajaa aisee[emoji3][emoji3]Lakini nyamhongolo inaikalisha hiyo buswelu yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ata mimi nilikuwa nasema hapa tukibishania quantity basi hakuna wakushindana na buhongwa wala igoma, lakini kwa quality yaan mansions, palaces, castles, bangalows hapa Capripoint, bwiru, isamilo na nyasaka huwez kuziondoa.Mi sizungumzii quantity,, Nazungumzia quality...ukisema tuangalie quantity capripoint itabidi isiwe ya kwanza ..... nyamhongolo ipo Kama buhongwa.. nyumba nyingi za msouth,,lakin likija suala la makasri ,aka palace ,,,au mansion ..mwananchi ni level nyingine..japo nyamhongolo nayo inakuja ,,tuipe 3 years next maybe
Pande za Bwiru am I wrong?[emoji33][emoji33][emoji28][emoji28][emoji28]unaanza kutafuta pa kutokea ..mim nimekuletea ushahidi wa picha lakin mwenzagu maneno tupu ..by the way [emoji116]View attachment 2453980View attachment 2453981