Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Sisi mtuletee barabara tu mengine tuachie wenyewe.Mwanza ingepata bandari, Dar es salaam isingefikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi mtuletee barabara tu mengine tuachie wenyewe.Mwanza ingepata bandari, Dar es salaam isingefikia.
[emoji3] naona unataka kesho nisifanye kazi za watu niingie location[emoji378][emoji378][emoji378] usije kukimbia[emoji33][emoji33][emoji28][emoji28][emoji28]unaanza kutafuta pa kutokea ..mim nimekuletea ushahidi wa picha lakin mwenzagu maneno tupu ..by the way [emoji116]View attachment 2453980View attachment 2453981
Wrong brother..hili ni chimbo Moja safi .. .unaingia Pale buzuruga mataa Kuna road ya TARURA unashuka nayo kama unaelekea tandabui then unanyoosha nayo kama unaelekea alliance..mitaa ya mbele hapo utaona mambo hayo[emoji867][emoji16]Pande za Bwiru am I wrong?
Mimi buswelu ni zaid ya cbd ya mbeya lakini kuifananisha na developed classic, fantastic, awesome and amazing marvelous place kama capripoint na bwiru ni hatari sana.Kwa makazi bora kabisa ya kisasa na mengi sio ghorofa mbili zilizopangana buswelu naipa namba moja nyumba kali zilizo buswelu ukizihamishia mbeya,Idodomya na arusha panajaa aisee[emoji3][emoji3]
Kwa hali ya hewa, usafi wa mazingira, gharama ya maisha, maji safi Mwanza imebalance equation kuliko mikoa yote Tanzania..Sisi mtuletee barabara tu mengine tuachie wenyewe.
Mim sipo mwanza right now...ila ingia location.nyamhongolo tu ,,uprove wrong...[emoji3] naona unataka kesho nisifanye kazi za watu niingie location[emoji378][emoji378][emoji378] usije kukimbia
Nice, Mwanza inakua kwa kasi...Wrong brother..hili ni chimbo Moja safi .. .unaingia Pale buzuruga mataa Kuna road ya TARURA unashuka nayo kama unaelekea tandabui then unanyoosha nayo kama unaelekea alliance..mitaa ya mbele hapo utaona mambo hayo[emoji867][emoji16]
Au nikusaidie [emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji116]..[emoji3] naona unataka kesho nisifanye kazi za watu niingie location[emoji378][emoji378][emoji378] usije kukimbia
[emoji28][emoji28][emoji28]make kwanza nchekeMimi buswelu ni zaid ya cbd ya mbeya lakini kuifananisha na develope classic, fantastic, awesome and amazind marvelous place kama capripoint na bwiru ni hatari sana.
Na ukumbuke ina sewage system bora kuliko zote EA.Kwa hali ya hewa, usafi wa mazingira, gharama ya maisha, maji safi Mwanza imebalance equation kuliko mikoa yote Tanzania..
Bro acha kupost picha kama sanki farasi, usiniambie na wewe hujui kupostSababu ni zile zile . ubora wa makazi ,uwepo wa apartments za kisasa ,upatikanaji wa huduma ...NB ukiniletea nyumba Kali kuzidi hii hapo nyamhongolo nitag👇
Bado point yako ni dhaifu kijana halafu unaongea kama ukifika tu mwanachi unaona hayo ma mansions?[emoji1] mwanachi eneo kubwa ni uswqzi...... nyamhongolo hakuna uswaziMi sizungumzii quantity,, Nazungumzia quality...ukisema tuangalie quantity capripoint itabidi isiwe ya kwanza ..... nyamhongolo ipo Kama buhongwa.. nyumba nyingi za msouth,,lakin likija suala la makasri ,aka palace ,,,au mansion ..mwananchi ni level nyingine..japo nyamhongolo nayo inakuja ,,tuipe 3 years next maybe
Welcome big boss...kama hujawahi fika mwanza...wacheki Hawa Kitombile Cha asubuhi matour guide watakusaidia kulifahamu jijiNice, Mwanza inakua kwa kasi...
Nashukuru BossWelcome big boss...kama hujawahi fika mwanza...wacheki Hawa Kitombile Cha asubuhi matour guide watakusaidia kulifahamu jiji
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Bro acha kupost picha kama sanki farasi, usiniambie na wewe hujui kupost
Nimekuelewa brother...usjali kuhusu hiloBro acha kupost picha kama sanki farasi, usiniambie na wewe hujui kupost
Au tumfundishe😂😂😂Bro acha kupost picha kama sanki farasi, usiniambie na wewe hujui kupost
Huku juu nimesema kunamaeneo mnayapasifa za bure tu mfano nyasaka mimi naishi nyasaka niwapi nitayapata hayo mabangalows kwa hapa nyasaka?Ata mimi nilikuwa nasema hapa tukibishania quantity basi hakuna wakushindana na buhongwa wala igoma, lakini kwa quality yaan mansions, palaces, castles, bangalows hapa Capripoint, bwiru, isamilo na nyasaka huwez kuziondoa.
Kesho ingia location utupie vitu humu ili mikdde asikusumbue tena kwa maneno bila picha😀😀😀😀[emoji3] naona unataka kesho nisifanye kazi za watu niingie location[emoji378][emoji378][emoji378] usije kukimbia
Mwananchi ikipigwa lami ikawekwa na Street lights itatokelezea sana.Kama ni hivyo basi mwananchi ni nzuri kuliko bwiru ile point yangu ya nyakato ni nzuri unazidi kuipa nguvu
Pia nyakato wamemtoa otile brown[emoji1][emoji1]