Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Samahani hvi hii ni hotel au kanisa??
Hii sio hotel ni zaidi ya kanisa yaan hii ni cathedral, na lina uwezo wa kuweka watu 7000 pamoja wakati wa misa, pia ina vitu vingi na underground kubwa tu.
 
Me naona wangebalance miji ikawa na hadhi zinazokaribiana sio kila kitu kinarundikwa dar wangeepusha vingi,
Sera ya Chadema ya majimbo ndo jibu la matatizo hayo ya kupendelea baadhi ya mikoa na kuiterekeza mikoa mingine.
Mfano mwingine ni katika wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga.Kishapu Kuna mgodi wa almasi wa Mwadui, lakini wilaya haina barabara ya lami.
 
Hii kitu huwa unaniuma sana nikiongea hapa nitatokwa na mchozi.
 
Maeneo ya Ilemela kama kawaida vitu kuntu vinaendelea kujengwa
IMG_20230312_184203_9.jpg
IMG_20230312_172516_1.jpg
IMG_20230312_172346_2.jpg
 
Back
Top Bottom