Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Kama unabisha hili kapimwe akili kwanza ndiyo urudi hapa
Weka video hapa usifikiri kila mtu mjinga mwenzio...

Nimekutajia stendi aliyojenga kwa watu unaosema aliwachukia, nitajie na wewe huduma ya kijamii aliyowanyima.
 
Kwani yule wa CCM aliyetaka bwawa la umeme lisiwepo pale umemuuliza kama anatumia huo umeme?
 
Mtu kuwasikiliza Chadema lazima uwe mwendawazimu
Sio mwendawazimu tu bali mtu mwenye uwendawazimu tayari halafu anatokea tena mchawi akamlogelea mbali.Mtu wa sampuli hii ndiye anaweza kuwasikiliza chadema.
 
Litaondokaje wakati ni mbegu iliyomea?
Kumjua adui yako unapaswa angalau uwe na nusu ya uwezo wake...

Nyinyi endeleeni kufata maelekezo...

Halafu kwanini tangu Nape na Januari wawekwe kando thread za kumtukana Magufuli zimepungua..?
 
Kumjua adui yako unapaswa angalau uwe na nusu ya uwezo wake...

Nyinyi endeleeni kufata maelekezo...

Halafu kwanini tangu Nape na Januari wawekwe kando thread za kumtukana Magufuli zimepungua..?
Hilo unajua ww. Mimi na hayo maccm menzio sipo kabisa.
 
Mtu kuwasikiliza Chadema lazima uwe mwendawazimu
Usiepona hospital yoyote Duniani.

Haya majitu yana mimacho lkn hayaoni, yana masoko lkn hayasikii lkn pia yana mjambio na eti hayajambi!!!.
 

..Nyerere hakuwa na pension pia, lakini hawa wa sasa hivi mpaka wake na waume zao watalipwa pension kwa kodi zetu.

..hivi kweli ni halali kumlipa Baba Abduli pension? Yuko yeyote anamjua Baba Abduli anafananaje? Ni tumlipe pension kwa kazi gani aliyolifanyia taifa?
 
Sera ya Chadema wanapinga maendeleo ya vitu kama madaraja,shule hospitali,reli nk ndio maana nasema kuwasikiliza CHADEMA unahitaji kuwa mwendawazimu kwanza

Hawana maana yeyote
Ccm hawapendi kuboresha elimu ktk taifa hili maana ujinga ni mtaji wao mkubwa wanaotumia kuendelea kuwa madarakani. Just imagine kuna mtu anaweza kuamini uharo ulioleta hapa 'eti chadema wanapinga maeneleo'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…