Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm bwana sasa kwann mlimuuaWalidai ni megastructures zisizo na faida.
====
Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
View attachment 3121578View attachment 3121580
Kipi cha kuwashangaza kwenye hilo? Au unadhani kila mtu anatetemeka kwenye hilo daraja?Wafikishieni salamu kuwa limekamilika hilo Daraja la Magufuli
Gharama za uendeshaji wa nini?Gharama za uendeshaji?
Ni irrelevant kwa vile huna akili ya kuelewa. Magufuli alikuwa ruthless tyrant ambaye alikuwa na chuki kubwa sana kwa Chadema na hakuificha chuki yake hiyo. Alidiriki hata kuwanyima huduma za kijamii wananchi waliochagua upinzani. Yule alikuwa hayawani kabisa.Irrelevant...
Kwahiyo kwenu Magufuli alikua kaburu sio?
Vipi sasa hivi mko huru?
Vivuko?Gharama za uendeshaji wa nini?
Vinafanya kazi bure? Hivyo viwanda ambavyo vingejengwa kwa 500b visingezalisha pesa nyingi?Vi
Vivuko?
Daraja limekamilika, itafutwe Bil 500 ijenge viwanda.Vinafanya kazi bure? Hivyo viwanda ambavyo vingejengwa kwa 500b visingezalisha pesa nyingi?
Huwezi kumwelewa Magufuli kwa akili za kushikiwa...Ni irrelevant kwa vile huna akili ya kuelewa. Magufuli alikuwa ruthless tyrant ambaye alikuwa na chuki kubwa sana kwa Chadema na hakuificha chuki yake hiyo. Alidiriki hata kuwanyima huduma za kijamii wananchi waliochagua upinzani. Yule alikuwa hayawani kabisa.
Uganda walishajenga daraja kama Hilo Jinja kitambo tuu na hawapigi makelele,Bongo Sasa unaweza kuzani ndio wa kwanza 😆😆😆😆😆👇👇Walidai ni megastructures zisizo na faida.
====
Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
View attachment 3121578View attachment 3121580
Uganda imeshakuwa na daraja kama Hilo miaka 5 iliyopita.Shujaa Magufuli atakumbukwa Milele 🌹
Uganda imeshakuwa na daraja kama Hilo miaka 5 iliyopita.
Ni ushamba na ulimbukeni kubwatuka kana kwamba ni kurusha satellite mwezini 👇👇
View: https://youtu.be/1aN-B44XqGs?si=bQXeAfLoXSbkuz2T
Jikite kwenye hojaMEMKWA itamaluza Tatizo lako
Ngoja nikuunganishe na Dr Kibajaj 😀😀😀😀
Inatoka wapi?Daraja limekamilika, itafutwe Bil 500 ijenge viwanda.
Hoja ni hilo Ganda Feki 😂😂Jikite kwenye hoja
Sasa unabisha kwa maneno aliyoyasema kwa kinywa chake mwenyewe na kuyatekeleza? Kama hujui sina muda mchafu kukuwekea hapa mengine yako humu jukwaani. Yule mtu wenu alikuwa mwendawazimu.Huwezi kumwelewa Magufuli kwa akili za kushikiwa...
Magufuli alipata kura ngapi Moshi mjini? mbona aliwajengea stendi kubwa hapo ngangafumuni...
Unaweza kutaja maeneo waliyonyimwa huduma za kijamii kisa hawakumchagua?
Jikite kwenye hoja acha ushamba na uchawaHoja ni hilo Ganda Feki 😂😂
Weka video hapa nione...Sasa unabisha kwa maneno aliyoyasema kwa kinywa chake mwenyewe?
Angeteka watu na lile kundi lake la watu wasiojulikana?Weka video hapa nione...
Ukweli ni kwamba ni nyinyi ndio mlimchukia Magufuli, yeye hajawahi kuwachukia...
Weka video hapa nione...
Ukweli ni kwamba ni nyinyi ndio mlimchukia Magufuli, yeye hajawahi kuwachukia...