Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Daraja siyo la Magufuli, hilo jina tu. Kama unavyosikia "Nyerere Road" usidhani barabara ni mali ya marehemu Nyerere.

Mali ya umma siyo mali ya chama.
 
Irrelevant...

Kwahiyo kwenu Magufuli alikua kaburu sio?

Vipi sasa hivi mko huru?
Ni irrelevant kwa vile huna akili ya kuelewa. Magufuli alikuwa ruthless tyrant ambaye alikuwa na chuki kubwa sana kwa Chadema na hakuificha chuki yake hiyo. Alidiriki hata kuwanyima huduma za kijamii wananchi waliochagua upinzani. Yule alikuwa hayawani kabisa.
 
Huwezi kumwelewa Magufuli kwa akili za kushikiwa...

Magufuli alipata kura ngapi Moshi mjini? mbona aliwajengea stendi kubwa hapo ngangafumuni...

Unaweza kutaja maeneo waliyonyimwa huduma za kijamii kisa hawakumchagua?
 
Walidai ni megastructures zisizo na faida.

====

Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
View attachment 3121578View attachment 3121580
Uganda walishajenga daraja kama Hilo Jinja kitambo tuu na hawapigi makelele,Bongo Sasa unaweza kuzani ndio wa kwanza 😆😆😆😆😆👇👇

View: https://youtu.be/-aHr89ANq_E?si=BKeMAGJ6KAEoyTJL
 
Huwezi kumwelewa Magufuli kwa akili za kushikiwa...

Magufuli alipata kura ngapi Moshi mjini? mbona aliwajengea stendi kubwa hapo ngangafumuni...

Unaweza kutaja maeneo waliyonyimwa huduma za kijamii kisa hawakumchagua?
Sasa unabisha kwa maneno aliyoyasema kwa kinywa chake mwenyewe na kuyatekeleza? Kama hujui sina muda mchafu kukuwekea hapa mengine yako humu jukwaani. Yule mtu wenu alikuwa mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom