Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Time travel from 2 hrs to 4 minutes??

Impressive.
 

Na enzi hizo nyerere rasilimali nyingi za nchi alizihifadhi kwa vizazi vijavyo ,alifungua viwanda vingi tu ,hawa wa sasa ni zaidi ya majambazi ,yaani mtu ana mshahara kufuru ,hapo hapo ana bajeti ya kumlipia kila kitu means mshahara haugusi,then hakatwi kodi,mwenza analipiwa yaani ni kufuru tupu ,kwa mwendo huo watakopa hadi Trilioni 50 kwa mwaka mmoja maana matumizi yasiyo ya lazima ni mengi sana.
 
Hayo malofa ya chadema ndiyo yatakuwa ya kwanza kupita hapo darajani bila aibu
 
Kwani chadema ndio waliotuletea Magufuli (rip)? Wewe acha hizo.
Magufuri ni nani katika nchi hii???Kwa taarifa yako hakuna Rais aliyeingia madarakani akakuta nchi imeendelea kama magufuri.Magufuri alikuta kila kitu mfano;wasomi,wataalam mbalimbali,vyama vya siasa imara,miji bora na majiji bora,barabara bora,fedha kibao,taasisi imara,umoja na mshikamano wa Watanzania,Siasa safi,Ardhi safi,Watu wazalendo wenye upendo kama familia moja,uchumi imara,Elimu bora,Kuheshimiana na kuvumiliana nk.Lakini yeye alipoingia alivuruga kila kitu akaleta ukabila,uchama na ufisadi.
 
Tatizo la afya ya akili ni kubwa
 
Watalitumia sababu limejengea Kwa Kodi zao.

Huna audacity kuwakataza wasitumie
Hata kama hawakumkubali Magufuli.

Limejengea mkopo na mkopo huo utalipwa Kwa Kodi watakazokamuliwa so Wana haki ya kukitumia.
 
Tunahitaji barabara miundo mbinu ya uhakika kama hii nchi nzima. Shule, hospitali, barabara, umeme, maji, masoko, vituo vya usafiri.

Maendeleo ya vitu yatasaidia kuleta maendeleo ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…