Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yako, mimi niwe kwenye hilo chama jizee la majizi?!Wewe ni CCM ila utakuja kujua kwa kuchelewa...
..Nyerere hakuwa na pension pia, lakini hawa wa sasa hivi mpaka wake na waume zao watalipwa pension kwa kodi zetu.
..hivi kweli ni halali kumlipa Baba Abduli pension? Yuko yeyote anamjua Baba Abduli anafananaje? Ni tumlipe pension kwa kazi gani aliyolifanyia taifa?
Magufuri ni nani katika nchi hii???Kwa taarifa yako hakuna Rais aliyeingia madarakani akakuta nchi imeendelea kama magufuri.Magufuri alikuta kila kitu mfano;wasomi,wataalam mbalimbali,vyama vya siasa imara,miji bora na majiji bora,barabara bora,fedha kibao,taasisi imara,umoja na mshikamano wa Watanzania,Siasa safi,Ardhi safi,Watu wazalendo wenye upendo kama familia moja,uchumi imara,Elimu bora,Kuheshimiana na kuvumiliana nk.Lakini yeye alipoingia alivuruga kila kitu akaleta ukabila,uchama na ufisadi.Kwani chadema ndio waliotuletea Magufuli (rip)? Wewe acha hizo.
vp kuhusu mbowe ?Kwamiaka ccm iliyakaa madarakani hilo daraja lilitakiwa liwelimejengwa mika 20 iliyo pita
Tatizo la afya ya akili ni kubwaMagufuri ni nani katika nchi hii???Kwa taarifa yako hakuna Rais aliyeingia madarakani akakuta nchi imeendelea kama magufuri.Magufuri alikuta kila kitu mfano;wasomi,wataalam mbalimbali,vyama vya siasa imara,miji bora na majiji bora,barabara bora,fedha kibao,taasisi imara,umoja na mshikamano wa Watanzania,Siasa safi,Ardhi safi,Watu wazalendo wenye upendo kama familia moja,uchumi imara,Elimu bora,Kuheshimiana na kuvumiliana nk.Lakini yeye alipoingia alivuruga kila kitu akaleta ukabila,uchama na ufisadi.
Chadema iko na 30yrs haina hata Jengo la ofisiKwamiaka ccm iliyakaa madarakani hilo daraja lilitakiwa liwelimejengwa mika 20 iliyo pita
Mbowe ni mwambavp kuhusu mbowe ?
Kwani pesa zilizotumika ni za nani?.Walidai ni megastructures zisizo na faida.
====
Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
View attachment 3121578View attachment 3121580
Ccm ipo zaidi ya miaka 60 pamoja na kupora maeneo ya uma kama viwanja vya mpira bado wameshindwa kuviendelezaChadema iko na 30yrs haina hata Jengo la ofisi
Kwako siyo.Tatizo la afya ya akili ni kubwa
Hayo malofa ya chadema ndiyo yatakuwa ya kwanza kupita hapo darajani bila aibu
Tunahitaji barabara miundo mbinu ya uhakika kama hii nchi nzima. Shule, hospitali, barabara, umeme, maji, masoko, vituo vya usafiri.Walidai ni megastructures zisizo na faida.
====
Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
View attachment 3121578View attachment 3121580