Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

Hatari 🔥🔥

Hivi wajuzi wa haya mambo
Mjep huwa mnajenga vipi madarajaa kwenye maji?
Hizo nguzo zinasimkwaje?
 
Sasa wanakuwa wanapinga nini na wanafanya nini? Kwani matumizi ya kodi kwa ubwege wao wanadhani ni kwa ajili gani?
Mlipa kodi anayo haki ya kupendekeza na kupanga matumizi ya kodi anayolipa.
 
Hoja ya kijinga sana, imetolewa na mjinga na mpuuzi anayedhani pesa za ujenzi wa miundombinu ni Toka mfukoni mwa Rais wa nchi au Chama tawala.

Miundo mbinu inajengwa kwa pesa za kodi Toka TAX PAYERS watanzania wafanya biashara na watu wa kawaida wanachama wa vyama vyote vya siasa ni Tax payers.

Ikijengwa kwa mkopo, mkopo unalipwa kwa mapato ya ndani ikiwemo kodi zetu wenyewe regardless political affiliation of tax payers.

Umeleta Uzi wenye maudhui yaliyovunja REKODI YA JUU YA UJINGA DUNIANI.

🤔🤔🤔
 
kwani wana soni? wamekaa kama madada poa ya riverside, hata kwenye ufunvuzi watakuwepo
 
Mwaipaya hana akili,bi kizimkazi amekuta miradi iliyoachwa ikihitaji pesa hata kama mwaipaya angekabidhiwa nchi ikiwa na miradi kama hii angekopa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…