Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Hiki ndo kilichobaki tu hapa tanzania wenzetu wao wapo level nyingine za kurusha satelite angani sisi tumekomaa na mitandao,Tanzania hapa tuna wanasayansi lakini sijawahi sikia walichokifanya cha maana Taifa likajivunia,ila "twente tu"in wasukumas voice naamini tutafika tu kwa upuuzi wetu huu
Kwa hiyo awe anatukana watu na kukashifu dini za watu tuwe tunamuangalia tu sio?
 
hii serikali kwann wanahangaika na vitu vidogo ,huyu kisandu hapa jf tunampuuziaga tu nyuzi zake tunazisoma just for funny ,wao kwann wanashindwa kumpuuza tu
Hivi hayo matusi ni ya kuyachukulia poa au hujaona matusi anayoyatua aisee si ya kupuuza hata
 
Kuwa mwalimu yakupasa uwe na maadili,Sasa hapo huwezi tofautisha mwalimu na chizi maana hata makonda wananafuu japo wamezoeleka kwa lugha chafu.
Deo ana msongo wa mawazo na anahitaji msaada maana mwanzo nlijua anafanya makusudi tu huku jf ili afurahishe watu lakini this is serious aisee.
 
78282fed672957e5cc4a8e019112a5f5.jpg


Huu ujingaa ndo umempelekaa ndo akadakwa na vijana wa siro..
Lakini amewahi kulalamika hapa jf kwamba account yake ya fb imedukuliwa
 
Minilishamtilia mashaka tangu alipoeleza jamaa alietaka kumbaka kule chuo heti alimsamehe na akaendelea kuishi nae chumba kimoja!!!.
Kweli huyu mgonjwa, anahitaji msaada.
 
Lakini nimimi naamini kama nabii titto amekutwa anamatatizo yaakili basi naamini hata Ndugu yetu deo nae atakuwa hivyohivyo maana ajaanza leo
 
Si kidogo mkuu, du Tena mwalimu. Ati iwe jamani.
yaaani hapo niliposikia kuhusu hiyo taaluma yake ndio nikachoka kabisa
kwahiyo kesho pakikucha wanafunzi wake watataka kujua mwalimu wao kwa nini amekamatwa ..nakwakuwa technology haishindwi jambo majibu watakayo pewa ni hzo screenshot za hiyo mitusi
hahaaa
 
Back
Top Bottom