Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Miaka Zaid ya 30 mnaZungumzia habari za viwanja wakati CCM ilishavuka na kupita habari hizo, kweli Chadema imechoka na kupoteza muelekeo kabisa, haina dira Wala muelekeo.
Kazi kutafuna Ruzuku na michango yote, Fedha za join the chain mmezitafuna yote na hapo Tena mnataka muanzishe upigaji mwingine, Hizo laki tatu mnapeleka zote mifukoni mwenu Kama kawaida yenu
Pale mwenye nyumba ya urithi anapomcheka asiye na nyumba.