Mwanza: Heche achangisha Tsh. Milioni 2.3 kujenga ofisi ya CHADEMA


Pale mwenye nyumba ya urithi anapomcheka asiye na nyumba.
 
Hiyo pesa mbona hata mm ningewapa kuliko kusumbua kuchangisha watu
 
CHADEMA imeanza lini kupata ruzuku? Ruzuku wanapata kiasi gani Kwani?? Mbona nyie tangu tupate u huru mnaongoza na hadi leo mnaongelea habari za kuleta maji na uneme? Kila awamu ahadi ni hizo hizo tu
Wanazungumzia matundu ya choo aibu sana
 
John Heche huyu ndiye Mwenyekiti bora kabisa ajaye baada ya Mbowe sina mashaka naye.
 
CCM inazaliwa naiona.
Nimeishi kwenye nyumba ambapo kila kitu ni mali ya CCM.
Naomba nionyeshe jengo lolote la ofisi ya CCM iliyopata kihalali kuanzia kiwanja mpaka majengo.
CCM "white house", Kizota, CCM - Dom mkoa, nyumba za kule uzunguni, huniambii kitu chochote upatikanaji wake.

CCM ni waporaji wa mali za Watanzania.
Ningeandika mengi sana na kuweka ushahidi ila sitaki kuja kufuatwa na "wasiojulikana".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…