Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kusema kwamba kote watafika ndio jibu la kiuchumi? Au ndio litafuta upotevu huu wa pesa? Kwa nini reli isingeanzia kwenye tija ndio ifuate huko kwingine?Mbona husemi bwana Ladogosa amejibuje hilo, unakuja na maoni ya upande mmoja?
Ukanda wa Kati wa usafiri kuelekea Nchi jirani na mikoa hiyoTusaidie wengine kufahamu central corridor ni nini na walengwa wa hiyo corridor ni akina nani,ili tuende sawa .
Jibu swali,kwanini Kipande cha Isaka kiende Mwanza badala ya Kigoma kwenye 41%?Na ambayo inashuka moro, Dodoma,Tabora,Kahama,Shinyanga,Simiyu,Mara ni asilimia ngapi?hizi akili za kilaza Zitto zishindwe
Kanda ya Ziwa ina mizingo mingi kuliko Kigoma wewe unafikiria tu nchi za nje na ndani ya nchi je?Jibu swali,kwanini Kipande cha Isaka kiende Mwanza badala ya Kigoma kwenye 41%?
Sent using Jamii Forums mobile app
TNa ambayo inashuka moro, Dodoma,Tabora,Kahama,Shinyanga,Simiyu,Mara ni asilimia ngapi?hizi akili za kilaza Zitto zishindwe
Ukanda wa Kati maana yake tunazungumzia reli ya Kati,au,na na inapitia mikoa ipi kuelekea nchi jirani.Ukanda wa Kati wa usafiri kuelekea Nchi jirani na mikoa hiyo
GIA angani tayari baada ya kuona ni mradi hewa.Hivi wewe unafikiri SGR inajengwa kwa ajili ya nchi jirani tu??!! Mbona hujaelezea mizigo ya ndani ya nchi upande wa Kanda ya Ziwa??
Miradi ya kipuuzi na isiyo na tija kama hii hata kwa wanaoishabikia sio ya kuipelekea pesa.Nenda kaing'oe wewe na BBC wako hao
Ya ndani iko wapi hiyo inayohitaji sgr?Lengo ni kusafirisha mizigo ya nchi za nje tu?
Hujui kitu wewe utopolo kwani unajua Kanda za Ziwa inachagia kiasi gani katika uchumi wa TZ?GIA angani tayari baada ya kuona ni mradi hewa.
Kwa akili zako za kindezi nyie wasukuma shida yenu kuu ni sgr? Sgr ndio itapunguza au kuondoa umaskini?
Reli zimekuwepo toka enzi za wakoloni na walizijenga kwa tija za kiuchumi zilizokuwepo sasa hii ya Sasa ambayo inaongezewa kasi inajengwa kwa tija gani huko kwenu?