Kaakazini ilikuwa zamani sasa hivi wamebaki kuforge vyeti na nyaraka na kutanga tanga kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa na mingine iliyobarikiwa.Iko hivi mleta mada ni mtu wa kaskazini, huwa ana chuki na wivu na kanda ya ziwa na watu wake hasa wasukuma, nina mjua kupitia nyuzi nyingi huwa anapondea sana waskuma. Kwa hiyo ni mwendelezo wa wivu wa jamaa kwa MWANZA.
Bila huto tumigodi 3 kuna nini huko usukumani?Kanda ya Ziwa ni maji marefu kwake. Aendelee kujidanganya hajui kanda hii ndio moyo wa nch hii
Kuna sehm sijawahi tamani kuishi ikiwemo huko jangwani na machimboni lake zoneKaakazini ilikuwa zamani sasa hivi wamebaki kuforge vyeti na nyaraka na kutanga tanga kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa na mingine iliyobarikiwa.
Wewe ni utopolo huwezijua baki hivyo hivyo ila jua kuwa SGR lazima iende Mwanza kabla ya Kigoma fullstop whether you like or not!Bila huto tumigodi 3 kuna nini huko usukumani?
Kanda ya Ziwa ina mizingo mingi kuliko Kigoma wewe unafikiria tu nchi za nje na ndani ya nchi je?
Bila huto tumigodi 3 kuna nini huko usukumani?
Kanda ya ziwa ni jangwa sio[emoji28][emoji28][emoji28]Kuna sehm sijawahi tamani kuishi ikiwemo huko jangwani na machimboni lake zone
Mahitaji makubwa maana yake shughuli za kiuchumi zinakuwa kubwa.BOT ina branch Mwanza miaka mingi tu iliyopita na jengo liko Nyerere road. Jengo lililofunguliwa juzi ni kuongeza huduma kutokana na mahitaji kuwa makubwa
Ujinga mi mzigo.Wakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Mchimia tumbo kama mchumia, akili zimehamia tumboni badala ya kichwani ndiyo maana umeandika upupu wa hali ya juu sanaWakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Kuna watu wengi, samaki, dhahabu isiyoisha, mbuga ya Serengeti, wanawake wenye shape nzuri siyo yale masorongngo ya kaskazini yenye meno kama kashata na miguu kama mirunda. Kuna mpunga, kuna pamba, kuna ng'ombe, kuna kahawa ya Bukoba, kuna dengu, kuna almasi. Sema jingine.Bila huto tumigodi 3 kuna nini huko usukumani?
Kwani mimi ndio BBC? π π π πMchimia tumbo kama mchumia, akili zimehamia tumboni badala ya kichwani ndiyo maana umeandika upupu wa hali ya juu sana
Wewe ni wale wale waliokunywa uji wa mgojwaMleta maada Opportunity Cost ana hoja nzito ambazo zinajibiwa kikanda na kisiasa. Binafsi naamini kama kungekuwa na umuhimu sana basi hii SGR ingeelekezwa Kigoma na Tunduma. Bahati mbaya huko Tunduma kuna TAZARA shirika la hovyo lililojaa masharti ya kikoloni. Mwisho wa siku, hatukuwa tunahitaji mradi mkubwa kama huu sasa, hasa kuupeleka sehemu ambazo si viable. Bora ungejengwa kwa hatua ndogondogo.
Lini wewe ulishawahi ona Mwanza na lake zone kwa ujumla inanufaika na Serengeti? Ng'ombe gani wote wako kwetu Kusini,Mashariki,Kaskazini na Nyanda za Juu,mpunga gani huo mnabipu tuu na mvua ya kuunga unga.Mpunga uko Katavi,Mbeya,Rukwa na Morogoro.Kuna watu wengi, samaki, dhahabu isiyoisha, mbuga ya Serengeti, wanawake wenye shape nzuri siyo yale masorongngo ya kaskazini yenye meno kama kashata. Kuna mpunga, kuna pamba, kuna ng'ombe, kuna kahawa ya Bukoba, kuna dengu, kuna almasi. Sema jingine.
Kigoma tunajenga meli kubwa ya tani 4000 hili kubeba mizigo ya Congo. Na Reli ya mpendwa hadi kwani TanganyikaMzigo wa kutosha kivipi,huoni takwimu hapo au una maana gani?
Kwa jinsi unavyoichukia Mwanza ungekuwa na uwezo ungeliiangamiza yote, nakushauri 2025 gombea urais ili uzuie maendeleo yote ya kanda ya ziwa.Lini wewe ulishawahi ona Mwanza na lake zone kwa ujumla inanufaika na Serengeti? Ng'ombe gani wote wako kwetu Kusini,Mashariki,Kaskazini na Nyanda za Juu,mpunga gani huo mnabipu tuu na mvua ya kuunga unga.Mpunga uko Katavi,Mbeya,Rukwa na Morogoro.
Watu wengi ila wamejaa umaskini wanakusaidia nini
Ni hivi siku huto tu migodi 3 tuki shut down hakuna rangi mtaacha kuona ndio maana Takwimu zinawakataa
Wew jamaa ukiwa unaongelea Kanda ya ziwa unaikwepa Sana bukoba na Mara . Kanda ya ziwa sio wasukuma peke yao.Lini wewe ulishawahi ona Mwanza na lake zone kwa ujumla inanufaika na Serengeti? Ng'ombe gani wote wako kwetu Kusini,Mashariki,Kaskazini na Nyanda za Juu,mpunga gani huo mnabipu tuu na mvua ya kuunga unga.Mpunga uko Katavi,Mbeya,Rukwa na Morogoro.
Watu wengi ila wamejaa umaskini wanakusaidia nini
Ni hivi siku huto tu migodi 3 tuki shut down hakuna rangi mtaacha kuona ndio maana Takwimu zinawakataa
Wew jamaa ukiwa unaongelea Kanda ya ziwa unaikwepa Sana bukoba na Mara . Kanda ya ziwa sio wasukuma peke yao.
Unasema Kanda ya ziwa pakame? !! Hivi unajua kuwa bukoba inapata zaidi ya mm 2000 kwa mwaka ikizidi mikoa yote nchini.
Bado mkoa wa Mara Kuna mvua za kutosha!!
Tazama hapa karibia kahawa yote nchini inatoka mkoa mmoja wa Kanda ya ziwa.
Na ni moja ya top 3 ya mazao nchiniView attachment 1829435