Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
- Thread starter
- #161
Nili na minefu na hela 😆😆☝️☝️Tuvanofu unoge yiveve
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nili na minefu na hela 😆😆☝️☝️Tuvanofu unoge yiveve
unajua ziwa Tanganyika limepakana na nchi ngapi??Punguza kuhemka kama unabalehe jikite kwenye mada
Karibia miaka 60 ya Uhuru kigoma haijaunganishwa na barabara ya lami, ebu jiulize kwanini unatoka dar-Mwanza hadi musoma kwa lami au Dar-Mwanza hadi kagera kwa lami lakini huwezi kutoka Dar-kigoma kwa lami?! Sasa kama kwenye barabara tu hawakuipa umuhimu kigoma dhidi ya Mwanza kwa nini waipe umuhimu kwenye reli. Kwa taarifa yako kuna mizigo mingi tu ya ndani inayokuja kanda ya ziwa zaidi ya mara sita ya mizigo ya ndani inayoenda kigoma, kumbuka hii reli hatuwajengei wakongo bali tunajijengea watanzania ili kurahisisha usafirishaji wananchi wapate bidhaa mbalimbali kwa bei rahisi, hivyo basi ukipeleka reli Mwanza watafaidika wananchi wengi zaidi kuliko kigoma.Kwa hiyo ipi yenye tija ? Hiyo 10% au 41%?
Hayo mambo ya % ya mizigo acha nayo, mzee ali taka SGR ikatoe ushamba huko kwao
Traffic light Shatoo cityHayo mambo ya % ya mizigo acha nayo, mzee ali taka SGR ikatoe ushamba huko kwao
Hiyo pande haina wanasiasa au wataalamu wenye ukabila au wanaovutia mambo kwao ndio maana yamewakuta hayo.Karibia miaka 60 ya Uhuru kigoma haijaunganishwa na barabara ya lami, ebu jiulize kwanini unatoka dar-Mwanza hadi musoma kwa lami au Dar-Mwanza hadi kagera kwa lami lakini huwezi kutoka Dar-kigoma kwa lami?! Sasa kama kwenye barabara tu hawakuipa umuhimu kigoma dhidi ya Mwanza kwa nini waipe umuhimu kwenye reli. Kwa taarifa yako kuna mizigo mingi tu ya ndani inayokuja kanda ya ziwa zaidi ya mara sita ya mizigo ya ndani inayoenda kigoma, kumbuka hii reli hatuwajengei wakongo bali tunajijengea watanzania ili kurahisisha usafirishaji wananchi wapate bidhaa mbalimbali kwa bei rahisi, hivyo basi ukipeleka reli Mwanza watafaidika wananchi wengi zaidi kuliko kigoma.
Nadhani na Uganda wataanza kuchukulia mizigo Mwanza badala ya DarWakuu mnogage.
Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma.
Cha kushangaza imekuaje reli ya SGR ijengwe kuelekea Mwanza? Wananchi wa nchi hii tunazidi kubebeshwa mizigo ya misumari Kisa maamuzi ya kisiasa.Mpaka hapo tunazika pesa na kuzalisha white elephant project,very sad.
Naunga mkono hojamoja ya uzi wa kipumbavu niliosoma toka nijiunge na jf...huyu alieuandika atakua ni mpumbavu sana na mjinga wahed.
Uwanja wa ndege umeanza kujengwa kipindi cha jamaa?! Hospital kubwa ya pili TZ baada ya muhimbili imejengwa kipindi cha jamaa, manispaa ya ilemela ndani ya jiji la Mwanza imeanzishwa katika uongozi wa jamaa?!Hiyo pande haina wanasiasa au wataalamu wenye ukabila au wanaovutia mambo kwao ndio maana yamewakuta hayo.
Kwani huoni reli ya mkoloni iliwahi kufika Kigoma kabla ya Mwanza?
Hata nyie wasukuma wa huko bila yule jamaa kujipendelea kwao hilo daraja, airport, hospital,reli nk mungeishia kuviona Dar na Arusha tuu.
Tzn hii mambo yanaenda.kikabila,kama hamna watu wenye akili kwenye system mtasalia hivyo hivyo.Unaweza ona Magu alivyohawanya mahalmashauri ,mikoa nk huko Kanda ya Ziwa
Kwa hiyo maamuzi hayajali uhalisia bali yanajali nani wa kwetu yuko kwenye nafasi ya maamuzi aweze kupendelea.
Kunywa maji baridi utakufa kwa mwongo wa mawazomoja ya uzi wa kipumbavu niliosoma toka nijiunge na jf...huyu alieuandika atakua ni mpumbavu sana na mjinga wahed.
Aliyepandisha Mwanza kuwa jiji kabla ya Arusha alikuwa ni Magufuli?!, Aliyeanzisha manispaa ya ilemela ndani ya jiji la Mwanza na kuiacha Arusha alikuwa ni Magufuli?! Nijibu tafadhali.Kunywa maji baridi utakufa kwa mwongo wa mawazo
Good analysis. Now lets dig deeper.
Katika hizo Tani 3.4m za Congo only Tani 136,573 zilihudumiwa na badari ya Kigoma ktk huo mwaka 2017/18 sawa na 4%. Means 96% ya mizigo ya Congo ilipita Isaka to Congo via kigali kwa kutumia njia ya barabara.
What does that tells you?
Kigoma or Isaka?
GOOD POINT!!Kusema kwamba kote watafika ndio jibu la kiuchumi? Au ndio litafuta upotevu huu wa pesa? Kwa nini reli isingeanzia kwenye tija ndio ifuate huko kwingine?
Huu unchumi wako uliusomea wapi? Maana nahisi tatizo lako ni Mwanza wanaishai wasukuma na siyo Mwanza kama fursa ya kuchochea uchumi.Ni vizuri kufanya analysis ya Takwimu unazotoa.
Kuna uwezekano hiyo ndio GDP ya eneo tajwa lakini huo uchumi ukawa unazunguka mikoa ya jirani na ndani ya mkoa ila ukawa hauhusiani na maeneo mengine ya mbali.
Ukichambua vizuri utakuta volume ya biashara Kati ya Dar na Mwanza ni ndogo kuliko Mwanza na mikoa jirani,hata mizigo mingi ya ku export na ku import kuja lake zone inapitia Bandari ya Tanga na Mombasa kuliko Dar ndio maana figures zinasomeka 10%
Kwa mantiki hiyo kulikuwa hakuna haja ya connectivity ya sgr kwa sasa badala yake ingeenda kule ambako ingeleta tija.Ningekuwa mimi ndio naamua ningejenga express way Kati ya Mwanza-Singida-Tanga,Mwanza-Singida-Dar alafu sgr ningeipeleka Kigoma au njia Mbeya
Tuseme ulichosema ni kweli je hujiulizi kwanini mpaka leo miaka 60 Kigoma ni mkoa pekee michache iliyobaki haina barabara za uhakika? juzi umesikia Mwanza BOT wamefungua branch pale sababu mikoa ya kule inachangia 25%. kama nilivyosema itakuja kufika kote huko kwa sasa wenye malory ya mizigo au bidhaa za Congo badala ya kuchukulia Dar watakuja hapo Isaka tu na kupeleka Congo hizi ndio fursa zitaletwa na SGR kama dry port mambo mengi yatakuja kwa fursa. feasibility study imefanyika inaweza kuwa ni rahisi mizigo kuchukuliwa Isaka to Congo badala ya kupeleka reli Kigoma lazima tuwaamini waliofanya study na zaidi hata watoa mikopo wanapitia study hizi ili kupitisha mikopo yao kwa kujuwa unafungua fursa katika uchumi. Tuipeni nafasi SGR mimi naamini ni kitu bora kabisa na itapunguza gharama za kurekebisha barabara zetu. Kama tunahoji hili la SGR kwenda Mwanza tungehoji barabara pia kwenda Mwanza kwanza kabla ya Kigoma hapo ingeleta logic.
Kama mizigo 100% inatoka Dsm halafu 41% na 10% zinafika Kigoma na Mwanza (total 51%), huwezi kuona jibu la swali lako? Halafu unamwita mwenzako kilaza, wa bongo bwana!!Na ambayo inashuka moro, Dodoma,Tabora,Kahama,Shinyanga,Simiyu,Mara ni asilimia ngapi?hizi akili za kilaza Zitto zishindwe
Kutoka Tabora hadi kigoma Kipande pekee cha barabara ambacho hakina lami ni km 41 za kutoka Kazilambwa(Tabora) kwenda Chagu(Kigoma).......Nadhani ni kwasababu barabara ya kuelekea Kigoma ni mbaya kulinganisha na barabara ya kuelekea Rusumo / Rwanda.
mamaaa...! jinyonge😂😂Miradi ya kipuuzi na isiyo na tija kama hii hata kwa wanaoishabikia sio ya kuipelekea pesa.
Hivi huko serikalini kuna watu kweli wanaofikiria? Yaani baada ya kukamilika waanze tena kutuongezea kodi eti kulipia kujiendesha? Huu ni wehu