Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Dah kwa kweli watu tunapishana sana inamaana mm kupambana kote nitoke Dodoma niende Mwanza kuna watu wanapazimia Dodoma, I was in Mwanza two Months ago nikiri tu miundombinu hasa ya barabara za mitaa ni duni na zile nyumba za mabatin juu ya mawe ni mbovu haswa, Na ttzo ktk hilo ni hayo mawe juu ni ngumu kujenga nyumba kubwa ilhali mawe yamebana.

Miji mingo mnapenda kulinganisha na ile Mwanza sjui why, npo Makulu na ninachukia kuwa hapa sana.
 
Mipango miji changamoto ila hata maisha life style bado ni hovyo.. yaani hata barabarani umawaona wakazi unaona kabisa wanapitia maisha magumu sana
Yeah!.....kazi zetu nyingi tunafanya bila mpangilio wa kueleweka Sasa kupanga mji ndio tutafanikiwa kweli?... labda mbeleni watu wakielimika vizuri ndio watajali hilo
 
Habari wakuu.
Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,

Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.

Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,

Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.

Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,

Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,

Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.

Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,

Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.
Utakuta Mwanza eti wanawacheka Mbeya 😂😂
 
Hv kwann kila Jiji hupenda kulinganishwa na Mwanza tuanzie hapo kwanza 😅 yaan hadi Mbeya tena mwisho wale wa Kahama na wao waje na uzi wa kutaka battle na Mwanza.
Kwa sababu Mwanza inajiita Jiji la pili Kwa Ukubwa Tanznaia lakini halifananii na hiyo hadhi ndio maana inalinganishwa.

Mfano Magorofa Arusha,Tanga, Kilimanjaro na Dodoma zote zimezidi Mwanza Sasa hapo ndio Jiji la pili Hilo? 😂😂😂

Pili angalia ujenzi wa mabanda ulivyo,hivi ndio Jiji la pili linakuga hivyo?

Kiuchumi Mkoa wa Mwanza ni namba 2 lakini nyuma yake kuna Mbeya,mpaka hapo hakuna kuzidiana kokote Kwa maana ku justify hadhi ya namba 2

Sababu zingine ongezea 🤣🤣🤣🤣😁
 
Kwanza

Kwanza Mwanza haijiiti Jiji la pili bali ni Jiji la pili kwa ukubwa na kwa kila kitu hapa Tanzania kitu kingine Mwanza haijawahi kuzidiwa na Dodoma Maghorofa na haitawahi kuja kuzidiwa.

Nlichogundua wakazi wengi wa nje ya Jiji la Mwanza wana chuki na wivu juu ya Mwanza sababu tu RockCity ndio Jiji la pili kwa kila kitu nchi hii 😁

Kitu cha kufanya ni kutokulazimisha RockCity iwe kama unavyotaka ww sababu mm nikienda miji mingine naiona ni mibaya, mibovu na michafu piah.

Yani Dodoma hii ninayoishi ndio ety ndio iwe kali kulko kule 😅 acheni kudanganya watu bana na mkome tu kujpa moto sababu mtapata tabu sana, Mwanza imejitahd kukua bila jitahd mahususi za serikali kumbukeni hilo.

Jiji la Mwanza haliwezi kuwa km mnavyotaka kwa sababu piah ya namna ilivyo imagine hyo milima ingekuwa haina huto tu nyumba si ingekuwa pori huko milimani.

Note: Maghorofa sio kipimo cha mji kuwa ndio umeendelea.
 
Habari wakuu,

Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,

Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.

Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,

Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.

Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,

Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,

Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.

Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,

Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.
Wasukuma tumefikwa! In short msukuma hana ustaarabu, hata asome Havard University!
 
Dah kwa kweli watu tunapishana sana inamaana mm kupambana kote nitoke Dodoma niende Mwanza kuna watu wanapazimia Dodoma, I was in Mwanza two Months ago nikiri tu miundombinu hasa ya barabara za mitaa ni duni na zile nyumba za mabatin juu ya mawe ni mbovu haswa, Na ttzo ktk hilo ni hayo mawe juu ni ngumu kujenga nyumba kubwa ilhali mawe yamebana.

Miji mingo mnapenda kulinganisha na ile Mwanza sjui why, npo Makulu na ninachukia kuwa hapa sana.
Mkuu usifananishe makulu hata mtaa mmoja wa mwanza aseeh Makulu mtaa mmoja unaifunika mwanza nzima
 
Kwanza

Kwanza Mwanza haijiiti Jiji la pili bali ni Jiji la pili kwa ukubwa na kwa kila kitu hapa Tanzania kitu kingine Mwanza haijawahi kazidiwa na Dodoma Maghorofa na haitawahi kuja kuzidiwa.

Nlichogundua wakazi wengi wa nje ya Jiji la Mwanza wana chuki na wivu juu ya Mwanza sababu tu RockCity ndio Jiji la pili kwa kila kitu nchi hii 😁

Kitu cha kufanya ni kutokulazimisha RockCity iwe kama unavyotaka ww sababu mm nikienda mini mwingine naiona ni mibaya, mibovu na michaud piah.

Yani Dodoma hii ninayoishi ndio ety ndio iwe kali kulko kule 😅 acheni kudanganyana watu bana na mkome tu kujpa moto sababu mtapata tabu sana, Mwanza imejitahd kukua bila jitahd mahususi za serikali kumbukeni hilo.

Jiji la Mwanza haliwezi kuwa km mnavyotaka kwa sababu piah ya namna ilivyo imagine hyo milima ingekuwa haina huto tu nyumba si ingekuwa pori huko milimani.

Note: Maghorofa sio kipimo cha mji kuwa ndio umeendelea.
Acha vichekesho,Kasi ya Ukuaji wa Jiji la Dodoma unaweza linganisha na Mwanza is uswazi City?

Dodoma kunajengwa zaidi ya magorofa 100 Kwa mwaka,Mwanza hata 10 hakuna 🤣🤣
 
Kwa sababu Mwanza inajiita Jiji la pili Kwa Ukubwa Tanznaia lakini halifananii na hiyo hadhi ndio maana inalinganishwa.

Mfano Magorofa Arusha,Tanga, Kilimanjaro na Dodoma zote zimezidi Mwanza Sasa hapo ndio Jiji la pili Hilo? [emoji23][emoji23][emoji23]

Pili angalia ujenzi wa mabanda ulivyo,hivi ndio Jiji la pili linakuga hivyo?

Kiuchumi Mkoa wa Mwanza ni namba 2 lakini nyuma yake kuna Mbeya,mpaka hapo hakuna kuzidiana kokote Kwa maana ku justify hadhi ya namba 2

Sababu zingine ongezea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
Kwanza

Kwanza Mwanza haijiiti Jiji la pili bali ni Jiji la pili kwa ukubwa na kwa kila kitu hapa Tanzania kitu kingine Mwanza haijawahi kuzidiwa na Dodoma Maghorofa na haitawahi kuja kuzidiwa.

Nlichogundua wakazi wengi wa nje ya Jiji la Mwanza wana chuki na wivu juu ya Mwanza sababu tu RockCity ndio Jiji la pili kwa kila kitu nchi hii [emoji16]

Kitu cha kufanya ni kutokulazimisha RockCity iwe kama unavyotaka ww sababu mm nikienda miji mingine naiona ni mibaya, mibovu na michafu piah.

Yani Dodoma hii ninayoishi ndio ety ndio iwe kali kulko kule [emoji28] acheni kudanganya watu bana na mkome tu kujpa moto sababu mtapata tabu sana, Mwanza imejitahd kukua bila jitahd mahususi za serikali kumbukeni hilo.

Jiji la Mwanza haliwezi kuwa km mnavyotaka kwa sababu piah ya namna ilivyo imagine hyo milima ingekuwa haina huto tu nyumba si ingekuwa pori huko milimani.

Note: Maghorofa sio kipimo cha mji kuwa ndio umeendelea.
Mkuu kuifananisha dom na mwanza ni kuikosea heshima dodoma, na labda huijui dodoma vzuri, zunguka dom vzuri mkuu
 
Acha vichekesho,Kasi ya Ukuaji wa Jiji la Dodoma unaweza linganisha na Mwanza is uswazi City?

Dodoma kunajengwa zaidi ya magorofa 100 Kwa mwaka,Mwanza hata 10 hakuna [emoji1787][emoji1787]
Dom baada ya miaka 10 ijayo hata dsm itaisubiri, jamaa anataka kulinganisha dom na uchafu,,, mwanza hata kufkia hadhi ya mtaa mmoja wa michese tu bado ikasome,
 
Habari wakuu,

Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,

Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.

Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,

Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.

Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,

Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,

Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.

Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,

Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.
Mbona kama umeandika kwa makasiriko sana na wivu mkubwa dhidi ya hili jiji tukuka na lenye ladha ya Durban, huna lolote zaidi ya chuki tu, kwa Tanzania hii ukitoa baadhi ya sehemu za Dar hakuna sehemu yenye makazi bora, mansions za kutisha kama Mwanza, siwezi kulaumu labda ulienda Mwanza ya kule kazilamimba.
 
Back
Top Bottom