Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Acha mahaba kijana wengine mwanza ndiyo nyumbani mpaka kesho, in short mwanza dar arusha mbeya tanga Dodoma, hazina hadhi ya kuitwa jiji au majiji ila kuna vijiji vilivyochangamka tuUzuri wa Dodoma upo kwenye nini? Kila jiji lina sehemu za makazi duni yaan slums, kwa Mwanza nje ya igogo kuna slum sehemu gani? Unajua gharama za kujenga nyumba kwenye hills na rocks, ningekuwa nabishana na mtu mwenye kuijua mwanza hapo sawa lakini wewe umejawa na chuki na upumbavu pamoja na wivu uliokithiri, hakuna jiji lenye mvuto hapa EA na central Africa kama jiji la Mwanza
Nasema hivyo baada ya kutoka nje ya Africa