Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Dah kwa kweli watu tunapishana sana inamaana mm kupambana kote nitoke Dodoma niende Mwanza kuna watu wanapazimia Dodoma, I was in Mwanza two Months ago nikiri tu miundombinu hasa ya barabara za mitaa ni duni na zile nyumba za mabatin juu ya mawe ni mbovu haswa, Na ttzo ktk hilo ni hayo mawe juu ni ngumu kujenga nyumba kubwa ilhali mawe yamebana.

Miji mingo mnapenda kulinganisha na ile Mwanza sjui why, npo Makulu na ninachukia kuwa hapa sana.
Pole sana Mkuu I feel your pain ni kitu gani kinakufanya unaichukia Makulu ili Mamlaka inapita hapa ikusaidie kufanya maboresho ya hapo Makulu, hakuna Maji?
 
Hawa wajomba kinachowauma ni kuona Mwanza is just moving forward each day, yani wanaongea hulu nafsi zao zinawasuta, I beg Mwanza kuwekwa serikali za mitaa tu bas hawataka kulinganisha na miji inayosifiwa kwa sababu inabarabara za mtaa zenye kiwango cha lami, I guess unapapata machinjioni Kule wakiweka tarmac roads aah ni amsha pote hadi Mahina, Igoma ,Mhandu imagine.
Kwa hio sasa Mkuu nini kinakwamisha wasiweke tarmac roads? Naona unaandika huku machozi yanakutoka sana you wish ungekua na Pesa zako utandaze lami kote na usisubiri tena Serikali
 
Pole sana Mkuu I feel your pain ni kitu gani kinakufanya unaichukia Makulu ili Mamlaka inapita hapa ikusaidie kufanya maboresho ya hapo Makulu, hakuna Maji?
Man it's totally a mess to be here kuanzia maji ni tatzo ,vumbi la kwenda hadi inalazimu mtu uwe na glass kwa macho sasa, nashangaa kumbe kuna watu wanafurahia haya mazingira oiiih eeeh
 
Jua linakupiga kwa sana vumbi ndio usiseme Ila kuna wenzio KUOGA mavumbi ndio furaha yao
 
Kwa hio sasa Mkuu nini kinakwamisha wasiweke tarmac roads? Naona unaandika huku machozi yanakutoka sana you wish ungekua na Pesa zako utandaze lami kote na usisubiri tena Serikali
This gvt is sometimes a shit, imagine nmekaa kule two Months kila siku watu waliharibikiwa magari sababu ya makorongo barabarani ,kuna hadi viwanda lkn hamna barabara za kiwango, watu wamejenga ,kuna soko huko kubwa ila bado tu hawaweki lami ni nn hko sasa
 
Mkuu hii kweli inafikirisha sana kwa hio huduma zote za maendeleo zipo Ila barabara hakuna au barabara haifai kupitisha Gari kwa sababu imejengwa chini ya kiwango?
 
Maendeleo yote yapo na watu wamejenga na wana magari wanapita kwenda makwao barabara ndio mbovu yaan ni vumbi tupu ,imagine weny bajaji wameshagomea kwenda huko sababu ya barabara kuna vi hiace vle vpanya ndio vnaenda na vinaishia Machinjion havifk KAKEBE ,MAHINA na MANDU mnashuka kuanza kutafuta boda hiyo fedhaha kwa Mwanza moreOver barabara kuanzia NATA ,MABATINI, BUZURUGA, NATIONAL, MWATEX ,NDAMA, IGOMA, NYAMHONGOLO had KISESA hakuna taa.

Ukirudi upande wa pili huko kuanzia Usagara ni vurugu tu za Magari barabara finyu na mbovu kuwahi kutokea ,imagine barabara kuu kuingia mjini ni mbovu vle na barabara bdo hamna taa, barabara Zote za mkato BUHONGWA to IGOMA ndio nliona wanaparaza huo mwezi wa 4 wanatak kutia lami, kwhyo Mwanza kwenye miundombinu kwakwel imesuswa sana ila inaenda hvohvo mji unapanuka kila siku kwa matumain ipo siku gvt watatia lami kwenye hzo barabara.
 
Hiyo dodoma yenyewe aijapangiliwa chochote kuna makosa ya kipumbavu sana kwenye mji wa dodoma mfano ni chuo cha dodoma kimejengwa bila eneo kuwekwa level kwanza hivyo kuna miinuko na mabonde majengo yamejengwa juu ya miinuko isiyo na sababu za msingi ...dodoma barabara vime buniwa zimepinda pinda hazipo nyuzi 90⁰ hata ujenzi wa majengo mapya ayajazingatia nyuzi 90⁰...kuna ufisadi mkubwa serikalini katika watu wanao fanya mipango miji
Duh hatari kwa hiyo ulitaka wapige level UDOM mzima kama kiwanja cha mpira 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Vitu vingine muwe mnakaa kimya aisee😂
 
Dah kwa kweli watu tunapishana sana inamaana mm kupambana kote nitoke Dodoma niende Mwanza kuna watu wanapazimia Dodoma, I was in Mwanza two Months ago nikiri tu miundombinu hasa ya barabara za mitaa ni duni na zile nyumba za mabatin juu ya mawe ni mbovu haswa, Na ttzo ktk hilo ni hayo mawe juu ni ngumu kujenga nyumba kubwa ilhali mawe yamebana.

Miji mingo mnapenda kulinganisha na ile Mwanza sjui why, npo Makulu na ninachukia kuwa hapa sana.
Unapachukia Kwa sababu zipi za msingi?
 
Maji hutoka kwa muda mnaweza kukaa siku 5 maji hamna au kuna wakati yanakuj mchana ndani ya dk 40 had 1hr kama haupo nyumbani unapishana nayo hadi muda mwingine.
Hapo kweli changamoto Mkuu na maji ndio kila kitu vipi visima vya kuchimba hakuna kabisa yaan ni maji ya kusubiria bombani tu?
 
Kwanza

Kwanza Mwanza haijiiti Jiji la pili bali ni Jiji la pili kwa ukubwa na kwa kila kitu hapa Tanzania kitu kingine Mwanza haijawahi kuzidiwa na Dodoma Maghorofa na haitawahi kuja kuzidiwa.

Nlichogundua wakazi wengi wa nje ya Jiji la Mwanza wana chuki na wivu juu ya Mwanza sababu tu RockCity ndio Jiji la pili kwa kila kitu nchi hii 😁

Kitu cha kufanya ni kutokulazimisha RockCity iwe kama unavyotaka ww sababu mm nikienda miji mingine naiona ni mibaya, mibovu na michafu piah.

Yani Dodoma hii ninayoishi ndio ety ndio iwe kali kulko kule 😅 acheni kudanganya watu bana na mkome tu kujpa moto sababu mtapata tabu sana, Mwanza imejitahd kukua bila jitahd mahususi za serikali kumbukeni hilo.

Jiji la Mwanza haliwezi kuwa km mnavyotaka kwa sababu piah ya namna ilivyo imagine hyo milima ingekuwa haina huto tu nyumba si ingekuwa pori huko milimani.

Note: Maghorofa sio kipimo cha mji kuwa ndio umeendelea.
Sasa mtoa mada ameeleza hapo Juu ubovu na uhovyo wa Mwanza,nikajua mfano wa kigezo Kimoja Cha makazi wewe unabisha.

Sema basi kigezo Cha Jiji kuwa Bora ni nini labda? Maana huko Fishing town ya Mwanza kilakitu ni Cha hovyo.
 
Hapo kweli changamoto Mkuu na maji ndio kila kitu vipi visima vya kuchimba hakuna kabisa yaan ni maji ya kusubiria bombani tu?
Dodoma Bado Kuna shida ya Maji na Serikali inajua Hilo na inafanya utaratibu wa mda mfupi na mda mrefu.

Mda mfupi ndio Hilo la kuchimba visima na kutumia kiasi Fulani Cha maji ya bwawa la mtera.

Suluhisho la mda mrefu Serikali italeta maji ya Ziwa Viktoria na pia inajenga bwawa kubwa la Farkwa na eneo oevi la swaswa huko Chemba na kazi inaendelea.

Sema hivi huo utekelezwaji Hadi kukamilika hesabuni 2030 ,wakiwahi sana 2028.
 
Maendeleo yote yapo na watu wamejenga na wana magari wanapita kwenda makwao barabara ndio mbovu yaan ni vumbi tupu ,imagine weny bajaji wameshagomea kwenda huko sababu ya barabara kuna vi hiace vle vpanya ndio vnaenda na vinaishia Machinjion havifk KAKEBE ,MAHINA na MANDU mnashuka kuanza kutafuta boda hiyo fedhaha kwa Mwanza moreOver barabara kuanzia NATA ,MABATINI, BUZURUGA, NATIONAL, MWATEX ,NDAMA, IGOMA, NYAMHONGOLO had KISESA hakuna taa.

Ukirudi upande wa pili huko kuanzia Usagara ni vurugu tu za Magari barabara finyu na mbovu kuwahi kutokea ,imagine barabara kuu kuingia mjini ni mbovu vle na barabara bdo hamna taa, barabara Zote za mkato BUHONGWA to IGOMA ndio nliona wanaparaza huo mwezi wa 4 wanatak kutia lami, kwhyo Mwanza kwenye miundombinu kwakwel imesuswa sana ila inaenda hvohvo mji unapanuka kila siku kwa matumain ipo siku gvt watatia lami kwenye hzo barabara.
Kweli hapa Mkuu umesema kwa maumivu makalio sana maana barabara Ina msaada mkubwa sana kwa Wananchi sasa kunapokua na barabara mbovu au barabara isiyoleta Msaada kwao inakua changamoto sana mfano kuna wagonjwa, wamama wajawazito, nk sasa kukiwa na barabara mbovu hivyo ni changamoto sana ukiondoa watu wengine Ila kwa watu wenye hizo changamoto ni changamoto nyingine
 
Back
Top Bottom