Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Kwa mujibu wa watu wa uswekeni right 😅 nenda na Google ukabadilishe ety Arusha, Dodoma man be serious bas 😆

Natamani ingekuwa tuna majiji matatu nchi hii ambayo ndio atleast
Dar es Salaam
Mwanza
Arusha
Hao wengine warudishwe huko nyuma.

Mwanza ni Jiji linalondwa na Manispaa 2 ,Arusha 1 Dodoma 1.

That's means kama Shinyanga ingekuwa Karibu na Kahama leo hii ingekuwa ni Jiji la 3 kuzd hzo Arusha na Dodoma sababu Shy iko na Manispaa ya Shy na Kahama.

So ashamed with yuh mzee😅😅
RockCity iheshimiwe aseeh 🤩😆
Usituchishe bwana,Mwanza ni Mji wa hovyo Kila mtu akienda huko lazima assume,why not Miji mingine? 🤣😂
 
Usituchishe bwana,Mwanza ni Mji wa hovyo Kila mtu akienda huko lazima assume,why not Miji mingine? 🤣😂
Sababu kubwa ni Jiji la pili mzee 😅😅 halafu ni Jiji linalotembelewa na wengi hvo lazima tu lizungumziwe, the Geography of Mwanza also wengi hawajawahi kuiona tangu wamezaliwa 😁 sasa mtu ataleta thread ya Tanga ,Mbeya au Arusha wakt hamna watu wa kwenda huko.

Kitu kingine nilichokigundua wengi mkienda Mwanza mnapita tu barabarani hamtembei sasa mtu anaenda hadi Igoma sjui Nyamhongolo afu anakuja na thread, tembeeni Mwanza sio ,National, Igoma Nyamhongolo na Usagara tu 😁
 
Sijui Mwanza City master plan 2015-2035 iliishia wapi....?
Mito ya Msuka na Mirongo iboreshwe ili kupunguza mafuriko na kuvutia Jiji kama ulivyo kwa Mto Msimbazi Dar,lakini baadhi ya maeneo yenye vilima wananchi wapewe fidia ili kupisha uwekezaji wa kulipendezesha Jiji la Mwanza/Ilemela Municipal.
Serikali yenyewe wanaishi kwa mikopo wataweza kuwalipa wakazi wote wanaoishj milimani?
 
Dah kwa kweli watu tunapishana sana inamaana mm kupambana kote nitoke Dodoma niende Mwanza kuna watu wanapazimia Dodoma, I was in Mwanza two Months ago nikiri tu miundombinu hasa ya barabara za mitaa ni duni na zile nyumba za mabatin juu ya mawe ni mbovu haswa, Na ttzo ktk hilo ni hayo mawe juu ni ngumu kujenga nyumba kubwa ilhali mawe yamebana.

Miji mingo mnapenda kulinganisha na ile Mwanza sjui why, npo Makulu na ninachukia kuwa hapa sana.
Mwanza kuzuri especially hali ya hewa. Huko milimani ni hela tu! Panaweza kujengeka vizuri tu kama Capri point kukawa na mitaa iliyopangika vizuri na barabara nzuri
 
Habari wakuu,

Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,

Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.

Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,

Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.

Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,

Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,

Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.

Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,

Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.
cc Mikdde Kitombile
 
Huwa si reply coment za vilaza kama nyie lakini ngoja nikujibu, unaijua geographical location ya hayo maeneo? Sehemu kubwa ya jiji la Mwanza ni miamba pia ni milima unataka huko wajengo ma bangalow kwwnye mstari ulionyooka, au mpangilio wa mji nini? Ulishaona miji kama Busan, miji y scandinavia ilivyo n.k

Kwa Tanzania hii narudia tena hakuna mkoa au mji wenye mansions za kutisha kama Mwanza.
Mbona capri point ni milimani na kuna miamba kama yote lakini pamejengeka vizuri tu! Mi naona ni suala la serikali kuamua na kushirikisha wadau ...hapo mabatini panaweza kuwa pa kishua balaa kama serikali ikiamua
 
Pole sana Mkuu I feel your pain ni kitu gani kinakufanya unaichukia Makulu ili Mamlaka inapita hapa ikusaidie kufanya maboresho ya hapo Makulu, hakuna Maji?
Huyo atakua mgeni wa Jiji la Dodoma....Makulu ni mojawapo ya mitaa michache Dom ambayo inapata maji karibia kila siku kutokana na ukaribu wa tanki la kusambazia maji lililopo pale juu mlimani karibu na eneo la kambi ndogo ya Jeshi.
 
Huyo atakua mgeni wa Jiji la Dodoma....Makulu ni mojawapo ya mitaa michache Dom ambayo inapata maji karibia kila siku kutokana na ukaribu wa tanki la kusambazia maji lililopo pale juu mlimani karibu na eneo la kambi ndogo ya Jeshi.
Kwa hio kumbe Maji yapo Ila anasema ya kuotea yaan sio ya uhakika ni yanatoka saa 1 au Nusu saa yanakata ni ujanja kuwahi ukiwa mbali na bomba umekula kwako
 
Kwa hio kumbe Maji yapo Ila anasema ya kuotea yaan sio ya uhakika ni yanatoka saa 1 au Nusu saa yanakata ni ujanja kuwahi ukiwa mbali na bomba umekula kwako
Kiufupi Dodoma hakuna "shida" ya maji ila kuna "mgao" wa maji kuna mitaa maji yanatoka marambili kwa wiki ,mingine mara tatu kwa wiki,mingine maranne kwa wiki n.k. Tanzania hii hakuna mji wowote ambao maji yanatoka 24/7 mwakamzima😆😆. Mwanza penyewe licha ya kuzungukwa na Ziwa Victoria bado kuna changamoto ya maji
 
Kiufupi Dodoma hakuna "shida" ya maji ila kuna "mgao" wa maji kuna mitaa maji yanatoka marambili kwa wiki ,mingine mara tatu kwa wiki,mingine maranne kwa wiki n.k. Tanzania hii hakuna mji wowote ambao maji yanatoka 24/7 mwakamzima😆😆. Mwanza penyewe licha ya kuzungukwa na Ziwa Victoria bado kuna changamoto ya maji
Hapo umesema kweli Mkuu kwa hio unataka kusema Makulu maji yanatoka mara ngapi kwa Wiki?
 
Man it's totally a mess to be here kuanzia maji ni tatzo ,vumbi la kwenda hadi inalazimu mtu uwe na glass kwa macho sasa, nashangaa kumbe kuna watu wanafurahia haya mazingira oiiih eeeh
Dom ndio Jiji lenye mtandao mpana wa barabara za lami hapa Tanzania....ukiingia city center barabara za vumbi ni za kuhesabu kamwe usilinganishe na Mwanza aisee kwenye upande wa barabara za lami Dom wanapendelewa sana just imagine barabara ya Ring Road zaidi ya kilometer 100 zinajengwa .
Halafu kwa kukusaidia tu Hali ya hewa haijawahi kuwa kigezo cha kupima ubora wa mji.Dubai,Cairo, Windhoek ni semi desert lakini kimaendeleo haikamatiki. Kama Hali ya hewa ingekua ndio kigezo cha kupima ubora wa mji basi Lushoto,Mafinga ,Makete,Njombe zingeongoza Tanzania,😂😂
 
Hapo umesema kweli Mkuu kwa hio unataka kusema Makulu maji yanatoka mara ngapi kwa Wiki?
Eneo la Makulu/Mkalama maji yanatoka almost kila siku kwasababu kijiografia lipo mlimani karibu na tanki kubwa la kusambazia maji.Yaani pamoja na kuwa Makulu/Mkalama ni kama uswahilini lakini wanapata maji maranyingi kwa wiki kuzidi hata mitaa ya kishua pale Dom kwamfano Ilazo,Kisasa,Uzunguni,Area E,Area D,Magereza,Miyuji Proper n.k
 
Eneo la Makulu/Mkalama maji yanatoka almost kila siku kwasababu kijiografia lipo mlimani karibu na tanki kubwa la kusambazia maji.Yaani pamoja na kuwa Makulu/Mkalama ni kama uswahilini lakini wanapata maji maranyingi kwa wiki kuzidi hata mitaa ya kishua pale Dom kwamfano Ilazo,Kisasa,Uzunguni,Area E,Area D,Magereza,Miyuji Proper n.k
Hapo sasa naanza kuelewa kwa hio maji wanapata Ila sio kwamba maji mfululizo Ila wanapata kwa kiasi fulani tu kwa siku Mkuu si ndio hivyo au nimeelewa vibaya?
 
Ukiacha dodoma,lindi,tanga...mingine imezidi uholela hasa kule KUKAJA!
 
Back
Top Bottom