Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Huyo atakua mgeni wa Jiji la Dodoma....Makulu ni mojawapo ya mitaa michache Dom ambayo inapata maji karibia kila siku kutokana na ukaribu wa tanki la kusambazia maji lililopo pale juu mlimani karibu na eneo la kambi ndogo ya Jeshi.
Yani hii Makulu ndio angalau, basi huko kwingne kazi wanayo 😁
 
Aisee mitanzania mijinga sana yaani inabishania majiji yalio katika nchi Yao yaani hapa ccm wanayachora tu wanasema kweli mizombi haiishi kama mtoa thread na wenzake aisee kweli jomo Kenyatta hakukosea kuyaita maiti
 
Kabisa yani mimi nimeishi majiji yote Mwanza na Dodoma lakini dodoma itasubiri sanaaa sio leo wala kesho
Mm naishi Dodoma nlkuwa RockCity mwezi April, Dodoma hii kufika kwa Mwanza ile bado haswaa just imagine wamejengewa barabara za lami karibu kila mtaa na kuna zingine magari hamna ,zingne yanapita magari ya kuhesabu ilhali Mwanza, barabara hzo za mtaa na zingine ambazo bdo hazina lami ni mlundikano wa magari hadi hapo point yangu umenpata bila shaka.

Kinachowarusha roho hapa ni haya majengo ya serikali mfano mawizara ,jengo hili la Mahakama Makulu na TISS lkn piah wanasahau serikali ikishamaliza tu miradi yake na mji wao ndio unasimama.

Njoo kwa Mwanza miaka nenda rudi limekuwa na ni Jiji la pili hapa nchini bila hiyo miundombinu ya serikali au hayo mawizara ya serikali, Mwanza mitaa haina lami ila imejengwa na imekuwa mjini vp km ikiwekwa lami !? Hakika watapotea hawa madogo, Ogopa sana Jiji linakuwa bila Support ya serikali mzee.

Kwa hadhi ya Jiji la Mwanza kulitakiwa kuwa na chuo kikuu kikubwa cha serikali, hospital kubwa ya serikali, kiwanja kikubwa cha mpira wa miguu ila vyte hamna na bdo Jiji linakimbiza ! Mkuu weee huogopi!? 😁 wao wanapewa vyte na bdo wapo nyuma ya Mwanza 😅 kwann wasiumie sasa hata km ni wewe ungelia kbs yan inakuaje unazidiwa na Jiji linajipambania lenyewe!?

#RockCityMwanzaIsTheBest.
 
Aisee mitanzania mijinga sana yaani inabishania majiji yalio katika nchi Yao yaani hapa ccm wanayachora tu wanasema kweli mizimbi haiishi kama mtoa thread na wenzake aisee kweli jomo Kenyatta hakukosea kuyaita maiti
Mkuu wewe ungekaa kimya kama mshamba mmoja wa MpwaYungi ametaka kuchafua mji wako !? Ili auinue mji wake ambao bado unajitafuta!? Sisi sote ni waTz ni hii miji yote ni yetu ila hakuna kukaa kinyonge.
 
Mkuu wewe ungekaa kimya kama mshamba mmoja wa MpwaYungi ametaka kuchafua mji wako !? Ili auinue mji wake ambao bado unajitafuta!? Sisi sote ni waTz ni hii miji yote ni yetu ila hakuna kukaa kinyonge.
Hakuna mji wa mtu tanzania hii hayo ni majina tu yamewekwa ila yeyote anaishi popote tanzania pesa Yako tu kubishana miji huo ni ushamba wa kizamani a.k.a ukabila
 
Dodoma kwa magorofa gani
? Ukiondoa majengo ya serikali hamna lolote hapo dodoma.
Kwa mbeya ndio unyamaze kabisaa maana haina mpangilio wowote kuzidi mwanza, kiuchumi pia mwanza iko vizuri kuliko mbeya,
Arusha hakuna jipya kabisa,
Mwanza ni Jiji namba 2 ukiondoa dar es salaam ambayo ndio namba moja kama ukibisha na hapo rudi darasani🤣🤣🤣🤣
Naona unaleta ushabiki na inawezekana hujawahi kufika Dom labda umesimuliwa tu😆😆.. UDOM pekeyake kuna maghorofa zaidi ya 200, apo bado sijakutajia Magufuli City,Kisasa,Njedengwa Investment Area, Tambukareli,City Center n.k
 
Ulichozungumza wameshazungumza wenzio na wamejibiwa Dodoma ina wigo mpana sana wa barabara za kiwango cha lami hilo halina ubishi kiasi kuna barabara hazina magari yanayopit, unlike kwa Mwanza barabara zote hata mbovu ni zina magari na yanapita hyo inamaanisha Mwanza inauhtaji mkubwa sana wa barabara za lami ila inapuuziwa.

Let's say barabara za Mwanza ziwekwe km za Dodoma, kuna watu mtajinyonga aseeh 😅

Moreover, Mwanza ni kubwa na pana kias hata sehemu zisizo na tarmac roads ni zimechangamka kuzd sehemu za Dodoma zilizo na lami.

Hapa sasa ni wanaopambaniwa na serikali vs wanaojipambania 😁 na hapo sasa siku serikali iktosha kujenga hzi nyumba zao na wakaona wamemaliza kuweka lami vibarabara vyenu ndio mtasimamia hapo hapo unlike Mwanza😁 soon kunakuwa na Manispaa 3 nyie ni Manispaa 1 hebu peleka uchafu hko mzee 😁
Rudi shule aisee... Aliyekwambia ujenzi wa mji Mkuu huwa unaisha nani .Abuja Nigeria ilitangazwa mji Mkuu wa Nigeria tangu mwaka 1991 na mpaka leo bado unajengwa.Hapo Dom penyewe Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu ilianzishwa tangu mwaka 1973
 
Taja dodoma sehemu zenye hadhi 🤣
Dom mitaa ambayo unaweza kuiita uswahilini haizidi mitano ...kuna Mkalama/Makulu,Chaduru,Kizota na Chang'ombe huko ndio unaweza kusema ni uswazi.Mitaa mingine yote iliyobaki imepimwa na kupangiliwa vizuri kuanzia miundombinu hadi ujenzi wa nyumba+mapaa ya nyumba yote yana rangi Moja huwezi kukuta slums kama za Mwanza
 
Dar, Arusha, Mwanza kote ni uswazi... lakini haimaanishi zimezidiwa na Dodoma kiuchumi (Arusha na mwanza inawezekana zishiapitwa na Dom)...
Ila kwenye suala zima la mipango miji na upya wa majengo haina ubishi hakuna sehemu bongo sasa hivi inazidi Dodoma.
Kwenye majengo ya wizara na taasisi hilo hakina ubishi lakini kwenye uwekezaji sector binafsi Dodoma ikashindane na Nzega
 
🤣🤣🤣🤣🤣, tena kijiji haswa Dodoma nimeishi na Mwanza nimeishi, hawa malimbukeni wanataka kuleta battle za hovyohovyo, Dodoma inatakiwa ibatle na akina arusha,tanga sababu hata mbeya bado Dodoma haiwezi ipata
Safi sana mwamba, unajua hawa vilaza wanapenda kutafuta umaarufu kupitia majiji makubwa tukuka yenye bilinge mithili ya Jo' berg.
 
Dom mitaa ambayo unaweza kuiita uswahilini haizidi mitano ...kuna Mkalama/Makulu,Chaduru,Kizota na Chang'ombe huko ndio unaweza kusema ni uswazi.Mitaa mingine yote iliyobaki imepimwa na kupangiliwa vizuri kuanzia miundombinu hadi ujenzi wa nyumba+mapaa ya nyumba yote yana rangi Moja huwezi kukuta slums kama za Mwanza
Mwanza kuna mtaa wa slum zaidi ya mabatini, unashindwa kutofautisha slum na makazi yaliyokosa mpangilio au makazi duni.
 
Mwanza kuna mtaa wa slum zaidi ya mabatini, unashindwa kutofautisha slum na makazi yaliyokosa mpangilio au makazi duni.
Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, Nyegezi ni vijumba vya hovyo vimejaa bila mpangilio....Mwanza mtaa pekee uliopangiliwa ni Capri Point
 
1000143481.jpg
 
Back
Top Bottom