Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

😆😆Labda uwadanganye ambao hawajawahi kufika na kuishi Mwanza. Nimeishi Mwanza kwa zaidi ya miaka mitatu naijua mitaa yote ya Mwanza usibabaishwe na picha+video ukienda kuona hali halisi ya mipangomiji+miundombinu hutoamini kama Mwanza imepewa hadhi ya Jiji tangu mwaka 2000.👇👇

Umekaa mwanza miaka 3 ..unapajua buswelu? Pako km ngp kutoka mjini naa inapitia barabara gan
 
Kwenye majengo ya wizara na taasisi hilo hakina ubishi lakini kwenye uwekezaji sector binafsi Dodoma ikashindane na Nzega
Unachekesha sana ....kwamba Dodoma hakuna uwekezaji binafsi👇👇
-Mahoteli yote makubwa Dom ni uwekezaji wa nani..😆😆
-Vyombo vya habari (zaidi ya radio stations 16,1 tv station,magazeti mawili)...😆😆
-Wawekezaji wakubwa kwamfano GSM,Shabiby,Dangote,Shoppers,Kanisa n.k
-Mabenki +Taasisi za kifedha
-Viwanda (Zabibu pekeyake imetengeneza viwanda vya Wine zaidi ya 20) hapo bado sijakutajia Kiwanda cha Magodoro,DIPC Ntyuka,Viwanda vya Nyama n.k
 
Mwanza ukiingia tu unaona jiji lilivyo la hovyo na chafu kupitia waliojenga kiholela milimani
 
Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, Nyegezi ni vijumba vya hovyo vimejaa bila mpangilio....Mwanza mtaa pekee uliopangiliwa ni Capri Point
Kweli wewe ni ndezi huijui Mwanza na mitaa yote uliyoitaja ipo barabarani ndio maana tunasema rudini mwanza mkatembezwe na wenyeji, Ibanda, Malaika, Luchelele Shadi, Nyegezi majengo, Mwananchi, Bwiru press, Nyasaka,Ghana, Buswelu, Kiseke, ulishawahi kufika?? Au umekalili vimitaa vya njiani tu
 
Mwanza ukiingia tu unaona jiji lilivyo la hovyo na chafu kupitia waliojenga kiholela milimani
😆😆Hawa ndugu zetu ni wabishi kweli hawataki kukubali ukweli..kazi yao ni kujifariji tu yaani wanataka kulinganisha na Jiji la Dodoma ambalo master plan ilipangwa vizuri tangu enzi hizo za CDA.
 
Mtu ameshiba ugali na kusema naijua Mwanza halafu ukimuuliza anasema nimepita Nyegezi mpaka Nyamhongoro, yaani umepita linearly halafu unakuja na ushuzi wako hapa eti mwanza hapajapangwa, muwe na mnatembea na sehemu zingine, Itembelee nyamagana yote, then Itembelee Ilemela yote halafu uje na andiko lako sasa, mfano masare na mtoa mada wanasema wanaijua mwanza acheni kudanganya watu hata hamuijui mwanza, Ushauri wangu rudini mwanza mkatembelee manispaa yote ya Ilemela na viunga vyake, pia Nyamagana na viunga vyake, then tuje tuongee lugha moja,, na hakuna Jiji hapa Africa halina slums Nairobi penyewe kuna slums za kutosha, Dsm ndio ikulu ya slums,Tanzania, Arusha ndio usiseme, Eti naijua Mwanza shenziiii,,, Kama vipi Tuchore mtaa kwa mtaa, Tuanze na mitaa mbalimbali ya Ilemela Vs mitaa ya jiji la Dodoma, tukimaliza tuanze mitaa ya Nyamagana (Mwanza jiji), Tuone nani atafua Dafu,
 
Umesema unaijua Mwanza wewe???
 
Hiyo dodoma yenyewe aijapangiliwa chochote kuna makosa ya kipumbavu sana kwenye mji wa dodoma mfano ni chuo cha dodoma kimejengwa bila eneo kuwekwa level kwanza hivyo kuna miinuko na mabonde majengo yamejengwa juu ya miinuko isiyo na sababu za msingi ...dodoma barabara vime buniwa zimepinda pinda hazipo nyuzi 90⁰ hata ujenzi wa majengo mapya ayajazingatia nyuzi 90⁰...kuna ufisadi mkubwa serikalini katika watu wanao fanya mipango miji
Inamaana pale udom ulitaka ile milima ichongwe iwe flat ndio wajenge? Kwa Tz dom na Tanga ndio miji iliyopangiliwa na shinyanga niliiahau
 
Mwanza ukiingia tu unaona jiji lilivyo la hovyo na chafu kupitia waliojenga kiholela milimani
Sasa dodoma kuna nini cha ajabu ukitoa majengo ya serikali huko ihumwa ni sehemu gani pamepangwa ukitoa mtaa wa mwinyi? Nimeishi dodoma na nimejenga dodoma napajua nje ndani mji wenyewe uso wa mbuzi ukitoka pembeni pahovyo kuliko maelezo
 
Tembea uone kijana siku ukifika,
Guangzhou Istanbul Bangkok nakuhakikishia hicho unachoita jiji utakiita kijiji
Mimi nimefanikiwa kufika Bangkok . Kwa kweli mji umepangika vizuri
 
Sasa dodoma kuna nini cha ajabu ukitoa majengo ya serikali huko ihumwa ni sehemu gani pamepangwa ukitoa mtaa wa mwinyi? Nimeishi dodoma na nimejenga dodoma napajua nje ndani mji wenyewe uso wa mbuzi ukitoka pembeni pahovyo kuliko maelezo
Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lililopimwa na kupangiliwa kwa zaidi ya asilimia 95....kamwe usilinganishe na mji wowote East Africa kwa upande wa ubora wa mipangomiji
 
Habari wakuu,

Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,

Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.

Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,

Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.

Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,

Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,

Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.

Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,

Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.
Binafsi nilipokuwa naisikia Mwanza ni tofauti kabisa na ule ushuzi nilioukuta pale. Hakuna mpangilio hata wa barabara achana na makazi halafu kuchafu sana
 
Kiufupi Dodoma hakuna "shida" ya maji ila kuna "mgao" wa maji kuna mitaa maji yanatoka marambili kwa wiki ,mingine mara tatu kwa wiki,mingine maranne kwa wiki n.k. Tanzania hii hakuna mji wowote ambao maji yanatoka 24/7 mwakamzima😆😆. Mwanza penyewe licha ya kuzungukwa na Ziwa Victoria bado kuna changamoto ya maji
Hili ndo jiji sasa watu wanaishi kwa kuvizia siku za maji kuflow
 
Mtu ameshiba ugali na kusema naijua Mwanza halafu ukimuuliza anasema nimepita Nyegezi mpaka Nyamhongoro, yaani umepita linearly halafu unakuja na ushuzi wako hapa eti mwanza hapajapangwa, muwe na mnatembea na sehemu zingine, Itembelee nyamagana yote, then Itembelee Ilemela yote halafu uje na andiko lako sasa, mfano masare na mtoa mada wanasema wanaijua mwanza acheni kudanganya watu hata hamuijui mwanza, Ushauri wangu rudini mwanza mkatembelee manispaa yote ya Ilemela na viunga vyake, pia Nyamagana na viunga vyake, then tuje tuongee lugha moja,, na hakuna Jiji hapa Africa halina slums Nairobi penyewe kuna slums za kutosha, Dsm ndio ikulu ya slums,Tanzania, Arusha ndio usiseme, Eti naijua Mwanza shenziiii,,, Kama vipi Tuchore mtaa kwa mtaa, Tuanze na mitaa mbalimbali ya Ilemela Vs mitaa ya jiji la Dodoma, tukimaliza tuanze mitaa ya Nyamagana (Mwanza jiji), Tuone nani atafua Dafu,

Mtu ameshiba ugali na kusema naijua Mwanza halafu ukimuuliza anasema nimepita Nyegezi mpaka Nyamhongoro, yaani umepita linearly halafu unakuja na ushuzi wako hapa eti mwanza hapajapangwa, muwe na mnatembea na sehemu zingine, Itembelee nyamagana yote, then Itembelee Ilemela yote halafu uje na andiko lako sasa, mfano masare na mtoa mada wanasema wanaijua mwanza acheni kudanganya watu hata hamuijui mwanza, Ushauri wangu rudini mwanza mkatembelee manispaa yote ya Ilemela na viunga vyake, pia Nyamagana na viunga vyake, then tuje tuongee lugha moja,, na hakuna Jiji hapa Africa halina slums Nairobi penyewe kuna slums za kutosha, Dsm ndio ikulu ya slums,Tanzania, Arusha ndio usiseme, Eti naijua Mwanza shenziiii,,, Kama vipi Tuchore mtaa kwa mtaa, Tuanze na mitaa mbalimbali ya Ilemela Vs mitaa ya jiji la Dodoma, tukimaliza tuanze mitaa ya Nyamagana (Mwanza jiji), Tuone nani atafua Dafu,
Wewe shidayako unaleta ushabiki badala ya facts....Kwa taarifayako hata Dom kuna mitaa bado ina slums kwamfano Chaduru,Chang'ombe,Kizota ila tofauti na slums za Mwanza ni kwamba za Dom hata kama ikitokea ajali ya moto au majanga ya asili zinafikika na gari la zimamoto na moto utazimwa kwa wakati kwasababu ya mpangilio na miundombinu tofauti na Mwanza ambapo mitaa mingi(ukitoa Capri Point) ni full uswazi utadhani mabanda ya nguruwe hakuna barabara za mitaa yaani hata barabara kuu za kuingia mjini bado ni shida.
Angalia kwamfano Mabatini Igogo, igoma,nyakato sokoni, kangaye, kitangiri,bugharika mahina, temeke nyambitih huko kote ni makazi yasiyokuwa na mpangilio.
 
Eti kangaye ,eti Temeke ..Temeke Kuna uswazi 🙄🙄..kwanza hyo Temeke unajua ipo mtaa gan
 
Dodoma ndio Jiji pekee Afrika Mashariki na Kati lililopimwa na kupangiliwa kwa zaidi ya asilimia 95....kamwe usilinganishe na mji wowote East Africa kwa upande wa ubora wa mipangomiji
Kwa hiyo kwa kupangwa huko inaweza kuwa nzuri kuliko Nairobi,Kigali kisumu
 
Back
Top Bottom